mkuu thanks sana, sasa nataka kutuma hii form je naweza kutumia posta yetu ya kawaida, je on average posta za kawaida hutumia muda gani kufikisha barua U.S, DHL naona ni ghali mno...je nikitumia posta sitapoteza muda sana?
mkuu nashukuru labda nifanunue kidogo, ile stage ya kutuma maombi online ilishapita sasa nimechaguliwa kwa ajili ya kwenda kufanyiwa interview na masuala mengine sasa ndio nilitaka kujua kama kuna mzoefu aliepata miaka ya karibuni anipe details, ni kipi hasa wanahitaji?
habari za leo wanajamii, mashabiki wa man u poleni kwa kipigo toka imarati...
Kwa wadau wanaofuatilia dv lottery 2012 matokeo yameshatoka leo May1, nilitaka kuuliza kuna yeyote humu amepenya jamani?? Au kuna ambaye amewahi kupata dv lottery (nazungimzia ile yenyewe inayotolewa na state department sio phishy agents) hii anisaidie maujanja pamoja na docs za kuwa nazo ikiwa umechaguliwa??
Naomba nikupe tahadhali hivi karibuni nilikuwa bongo na mtu mmoja akapata email ya kitapeli ikimujulisha kuwa amewin green card, sasa angalia kuna matapeli. Forms hizo zitatumwa kwako kutoka state dept zina (bar code).
Kumbuka hakuna malipo yoyote ambayo utatakiwa kuyafanya mpaka siku ya kuitwa ubalozini kwakuwa uko Tanzania.
Na hiyo itakuwa baada ya kukamilisha hatua zote hizo ambazo si chini ya miezi 6(napo sema miezi sita mara nyingi ni zaidi ya hiyo miezi) kwa maana taarifa zako zote na historia yako maafisa wa FBI na makachelo wengine wa kimarekani watazifanyia kazi wakisha kuclear kwamba siyo jambazi au huna matatizo yoyote ya kiafya n.k ndipo watakapo kujulisha tarehe na saa ya interview hapo ubalozini.
Siku ya interview huna maelezo mengi wanachotaka ni kukuona physically maana kumbuka muda wote utakuwa umekuwa unawasiliana nao kwa makaratasi na picha tu,hivyo wanachofanya siku hiyo nikukagua document's ulizowatumia na original copies ulizo nazo.Hivyo mpaka kufikia hatua hiyo huwa kuna miezi kadha. Jitahidi kuwa mkweli maana hawa jamaa watafika mpaka kijijini kwako(Kufanya Vetting).
Huchagui aina ya visa/viza kwani hiyo greencard or DV lottery Visa inajieleza, ni visa inayokupa status ya kuwa mkazi wa marekani(permanent residence),ambapo unakuwa na haki zote za raia wa Marekani isipokuwa kupiga kura kwenye uchaguzi wa ngazi za kitaifa(federal).
Hivyo na sisitiza kama una barua hiyo na huna uhakika nayo nenda Ubalozi wa marekani uthibitishe kwani kuna utapeli umeenea hasa kwa kuzingatia kuwa watu wengi ni wageni kwenye swala hili, usimtumie mtu malipo yoyote malipo yanalipwa siku ya interview ambayo haifanyiwi mahala popote zaidi ya ubalozini.
Nilipata email kama two weeks ago ikinitaarifu kuwa nimebahatika kuwa chosen, na nilipie USD 800 per person. Actually nikawapigia watu wa kitengo cha diversity visa US Embassy ku-confirm nao wakaniambia it is absolutely scammer. Ningependa kutoa tahadhari kuwa usijiingize kwenye kulipia kwa postal orders au online. Ni vizuri ukalipie ubalozini kwani uwezekano wa kuibiwa ni mkubwa sana. This is from my personal experience not from someone else.
Wacha kudanganya watu, ni mwezi moja tu! (kutoka October 5 Hadi November 7)Unaweza kucheza kwa kuweka picha yako American visa standard kwa www.dvlottery.state.gov kuanzia mwezi October hadi Dec kila mwaka wanapokea entries kwa siku 60 tu kila mwaka kwa ajili ya maombi ya mwaka unaofuata
Wajinga ndio waliwao...Boss, wacha uongo zako mingi mingi mingi, hakuna makachero watakao tumwa kijijini kwa uchungizi, hakuna FBI watachunguza mienendo yako ukishinda green card, so, wacha kuweka watu uoga bure
Tumia hekma unapojibishana na watoto wa Rika langu, greencard ya kuenda marekani ni kuanzia October 5th Hadi November 7th. Hio ya miezi mbili ni Ile marekani umejitengenezea mwenyewe Kijiji kwenyu kigoma π€£πWe mtoto mdogo ndo unatoka high school, mi ni kama baba yako! Soma uzi wa lini huu na ulikuwa na umri gani? By the way nilihamia Marekani miaka mingi kwa hiyohiyo program na nina wadogo zako wa umri wako! Jielimishe kabla hujaropoka, ndo mana mnafeli sana vijana kama hamjacrem
Yes mpumbavu anajibiwa kipumbavu, kama umejua hii programu mwaka jana usilazimishe watu waliotoa maelezo miaka 10 iliyopita wakufuate mtoto! Kwa hiyo ukikariri mambo ya mwaka jana ulipofunguka macho unataka na waliofanya kabla ya mabadiliko wakufuate? Ndo maana tunasema kwa elimu yenu ya kakariri hamtajifunza kitu hadi waliowakaririsha warudi kuwafundisha upya! Grow up boy
Anyway am off this shit, chukua unachotaka vingine acha!
Kwani wewe umri wake unaujua ?We mtoto mdogo ndo unatoka high school, mi ni kama baba yako! Soma uzi wa lini huu na ulikuwa na umri gani? By the way nilihamia Marekani miaka mingi kwa hiyohiyo program na nina wadogo zako wa umri wako! Jielimishe kabla hujaropoka, ndo mana mnafeli sana vijana kama hamjacrem
Tumia hekma unapojibishana na watoto wa Rika langu, greencard ya kuenda marekani ni kuanzia October 5th Hadi November 7th. Hio ya miezi mbili ni Ile marekani umejitengenezea mwenyewe Kijiji kwenyu kigoma π€£π
Kumbe kuzeeka sio kua na hekima?
Kumbe Kuna waliobaki analogue, washamba na bado hawana habari.
Eti uko marekani?
New Orleans ama little Haiti?
Wewe upo pepo ya magurubasi.
ππ€£
Kwani wewe umri wake unaujua ?
Mbona unabwabwaja maneno hovyo kama Katibu mwenezi wa ccm.