Dv 4.19 pcb niende wapi?

Choro

Member
May 3, 2011
26
0
Jamani mimi nimemaliza mwaka huu form 6 nilipata 4.19 PCB yaani fss. Sasa nimejaribu kuulizia vyuo mbalimbali, CBE wanasema naweza kusoma Diploma za BBA, Marketing, Procument na Accountance.

Mlimani walisema nisome cheti cha Computer Science ndo niweze kusoma Diploma yake.
Ifm naweza kusoma Diploma ya IT na Computer Science. SAUT naweza kusoma masomo ya pre entry kwa miezi 3 nafanya test nikifaulu nisome degree ya BBA, Advanced Diploma ya Accountance au Procument.

Sasa naomba mnisaidie mawazo nichague kozi gani ambayo nikiendelea nayo itanitoa? Afu naomba kujua ni chuo gani DSM kuna masomo ya pre entry.

Yaani unasoma kwa mienzi 3 unapiga test ukifaulu unasoma Degree.

Naombeni mnisaidie
 
Jishughulishe na Kilimo bado kijana wewe! Naona mambo ya Elimu achana nayo hiyo div 4 ni kielelezo tosha. Ushauri tu!
 
Wewe baada ya matokeo unafikiria wapi kutokana na

  • matoke yako n
  • uwezo wako
  • Mapenzi yako
Unadhani path gani inakufaa.? I mean what was/is your dream.?

kabla ya kuamua vile vile jiulize kwa nini umepata matokeo hayo. bila kujidanganya Ni kutokna na uweli wako ndo unaweza kujua path sahihi ya kufuata. Dont stop dreamin but your dream should reflect realities like you performance your intelligency and finacial capability, etc....
 
Hivi kwa hizi kozi za biashara ni ipi unaweza kupata kazi kirahisi?
 
Diploma ya ualimu unaweza pigika maana shule za kata waalimu hawalipwi, kuna jamaa yangu ili mchukua zaidi ya mwaka kupata mshahara. Sikushauri huko
 
Hivi kwa hizi kozi za biashara ni ipi unaweza kupata kazi kirahisi?

Mhhh kwa matokeo hayo ushaanza kufikria na kazi ya kuajiriwa.

Tuliza akili yako. matokeo uliyopata hayakuweki kwenye postion ya kuwa competent. kwenye job market .lakini usikate tamaa

Hata Rev Masanilo anakupa ushauri mzuri usidhani anakunyanyapaaa

Pole sana. Usifikiri kazi fikira nini unchoweza . Usije kuwa ulichagua pcb sababu ya kufikria kazi badala ya uwezo wako.
 
Mhhh kwa matokeo hayo ushaanza kufikria na kazi ya kuajiriwa.

Tuliza akili yako. matokeo uliyopata hayakuweki kwenye postion ya kuwa competent. kwenye job market .lakini usikate tamaa

Hata Rev Masanilo anakupa ushauri mzuri usidhani anakunyanyapaaa

Pole sana

Thanks mkuu nilihisi nitaeleweka hivyo! Njia nyepesi angerudia mitihani aboreshe cheti.....
 
Back
Top Bottom