Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Diploma ya ualimu unaweza pigika maana shule za kata waalimu hawalipwi, kuna jamaa yangu ili humus zaidi ya mwaka kupata mshahara. Sikushauri huko
Rev unanifanya nicheke but hata kwa teaching wa primary inaweza kuwa path nzuri pia. Au akasomee Unesi. Zamani nilijua manesi ni wanawake tu. Nadhani kuna uhaba wa manesi wanaume. Hii watu wengi hawajui. Sababu umesoma pcb unesi unaweza kuwa path nzuri pia.