duwa zenu watu hawanipendi jf

jane_000

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
547
43
ma friends watu wengi hawanipendi kwa ukweli wangu wanataka nitume uwango ambao hauna faida na mimi
 
Kawaida tu ..
ukipendwa na kila mtu ujue wengine ni wanafki bora kuna ambao hawakupendi live...
maisha tu hayo usipoteze muda wako mwingi kuwaonyesha wanakuuthi
Yeaah kuwa ile altitude "I don't give a **** "
Concentrate on you & your life .. siku njema
 
Hivi hizi duwa hizi.....tunazichezea namna hii? au sijaelewa

wareva
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom