Kuwa label wenzenu kwa namna hii sio fair jamani, au kwa sababu ya kwenu hatuyajui??? Mtaudanga umma tu hapa lakini Mwenyezi Mungu hamuwezi kumdanganya kamwe!!! Laiti kama ya watu yakianikwa hapa......nina imani huyu dada atakuwa na afadhali!!
Mkuu hii inahusiana nini na topic?? Endeleeni tu kumjudge mwenzenu ila kaeni mkijua kuwa......msihukumu nanyi msije mkahukumiwa, na hicho kipimo mkitumiacho kuwahukumu wenzenu ndicho hicho kitakachotumika kwenu!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.