Duuuh, kweli wanawake wengine!

Piga dudu huyo..... Mtoto akililia wembe mpe.... Mengine mtayasolve baadae.
Mengine ni huo ukimwi ambao demu alitaka kumuambukiza kwa makusudi kabisa. Ingekuwa ni wewe sasa hivi ungekuwa unalia kwa kuambukizwa ukimwi maana ungemla tu.
 
usikute mna week nzima mmejifungia hapo leo ndo unajidai unataka ushauri,kama kweli ulikuwa na nia ya kumkwepa si ungemwambia kuanzia mwanzoni kwamba haupo morogoro simply and clear,we mgeni yupo kwenye sofa ndio unauliza ufanye nini,MARAFIKI WENGINE BWANA BURE KABISA.
 
Kama ni hadithi unahitaji kuingizwa kwenye list ya Forbes...kila kitu umekipangilia vizuri sana..
Mkuu sio hadithi,hapa nipo nipo tu,siamini kilichotokea,nina mawazo sana,na najiskia maumivu makali sana moyoni,kwa sababu jamaa yangu ndo kila kitu katika familia yao,mama yake anamtegemea jamaa tu!
 
Haujajua tu situation ilivyokuwa,afu sikuwahi kufikiria kama angekuwa wa aina hii,that's why sikushtuka kabisa,kwanza nlijua anasafari nyingine na sio rasmi kuja kwangu,the way alivyo kwanza sikufikiria kabisa kama mwisho wa siku angekuwa mnyama namna hii!!!
 
Wanawake kweli viumbe dhaifu sana mtafune tu yaishe
 
Huyo mtu toka unawasiliana naye anaonekana tu anataka dyudyu..Sasa we sijui ambacho haukukielewa ni kipi mpaka ukamkaribisha..Au ulikuwa unataka ushahidi???....We Dada kaa hapohapo usiondoke bila kupewa Dushe
hahaaaaaa jaman
 
Fanya kitendo ambacho kitamfanya rafiki yako awe proud na wewe wanawake wapo tunza heshima ya rafiki yako fanya maamuzi magumu ili hata siku za mbeleni ujiproud mwenyewe kwa maamuzi ya msingi na busara. Mwokoe rafiki yako
Asipokula yeye wengine watakula. Hivyo si kumwokoa Rafiki yake bali ni kujiepusha Na majanga maana Mke wa mtu sumu
 
Umeonyesha udhaifu mkubwa
Kutembea na demu wa kaka yako ni makosa makubwa
Mpe nauli arudi kwao
 
Nitumie picha yake hapa nikusaidie kuipost jukwaa la biashara
 
Mwite mwenzio uyo binti ikitokea la kutokea akaumia au akafa sijui utatoa maelezo gani,utakua hujamla na umefungwa acha uroho
 
Wanawake kweli viumbe dhaifu sana mtafune tu yaishe

Akimtafuna...mwanaume ndo atakuwa dhaifu na si mwanamke. Ukitegwa tu kidogo ndo umtafune? Dhaifu ni yule anayetegeka kirahisi bila kufikiria
 
acha kuzuga hizo janja za nyani
 
Enheee! Enheee! Enheee! Enheee! Enheee! Enheee!
Bahati yako. Ungeisoma namba. unafikiri mchezo. Dunia hadaa, ulimwengu shujaa. Chezea HIV +++ wewe. Du!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…