DUUU HUYU SIO MCHINA JAMANi?

DUUU HUYU SIO MCHINA JAMANi?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
1798761_700592676658015_140679783_n.jpg
​

Kuna watu wanalitafuta umbo kama langu kwa wachina mwisho wa siku wanaumbuka mi hili langu nimezaliwa

nalo. Wacha linipe riziki kwani sijaazima wala kununua ni langu tena langu mwenyewe. Upo hapo..!!
MMMHH

JAMANI YUKO SAWA KWELI HUYU..!!
 
Thamani ya kondoo..!!!? Wazee wa bandari mupooo ???
 
Mkia. Vilevile Nyumba choo. Huwezi jenga nyumba halafu choo kwa jirani.
 
Halina thamani hilooo. Mbona umelipeleka club?
 
Back
Top Bottom