Manyahe
JF-Expert Member
- Mar 17, 2023
- 635
- 1,070
Bas acha kutulalamikiaHapana mkuu. Chimbo sihitaji nahitaji Mtu wa kutulia nae.
Bas acha kutulalamikiaHapana mkuu. Chimbo sihitaji nahitaji Mtu wa kutulia nae.
unatakiwa ukae siku 21 baada kuachana ma mwenza wa kwanza kabla hujatafuta mwingine ili kuondoa mabaki ya X wako, huyo mwanamke kwan hajui kama ulikuwa kweny penz lingine, Uko penning ivyooNimetoka kuachana na mpenzi wangu niliempenda kama Miezi minne iliyopita. Basi baada ya Mda huo nikaweza kupatana na Mdada mwingine mzuri sana, nikarusha swaga zangu za hapa na pale. Asee kweli kutongoza ni mchakato na inaboa kwa kiasi fulani Kwani sasa hivi mimi ndio wa kumtafuta yeye na kumshawishi Nini nitamuoffer kwenye new relationship.
Kutongoza kunachosha, napenda kutulia na mtu mmoja tu kuepusha hizi rabsha.
Aiseee dalali katika ubora wakoKama upo dar nitajie ulipo nikuelekeze chimbo lililo jirani na wew....ili uepukane na izo mambo
We Anthropologist ushapata kaz?Nimetoka kuachana na mpenzi wangu niliempenda kama Miezi minne iliyopita. Basi baada ya Mda huo nikaweza kupatana na Mdada mwingine mzuri sana, nikarusha swaga zangu za hapa na pale.
Asee kweli kutongoza ni mchakato na inaboa kwa kiasi fulani Kwani sasa hivi mimi ndio wa kumtafuta yeye na kumshawishi Nini nitamuoffer kwenye new relationship.
Kutongoza kunachosha, napenda kutulia na mtu mmoja tu kuepusha hizi rabsha.
Unakwama wapi wanawake wa siku hizi mbona hawana miyeyusho , labda ww ni domo zegeNimetoka kuachana na mpenzi wangu niliempenda kama Miezi minne iliyopita. Basi baada ya Mda huo nikaweza kupatana na Mdada mwingine mzuri sana, nikarusha swaga zangu za hapa na pale.
Asee kweli kutongoza ni mchakato na inaboa kwa kiasi fulani Kwani sasa hivi mimi ndio wa kumtafuta yeye na kumshawishi Nini nitamuoffer kwenye new relationship.
Kutongoza kunachosha, napenda kutulia na mtu mmoja tu kuepusha hizi rabsha.
Wa kusuuza ringing😁😁😁😁😁😁😁😁🤣Madem wasiotaka pesa ni wale wenye pesa.
Kama unatafta mke, pesa sio ishu lakini kama unatafta 'girlfriend' wa kusuuza rungu, pesa itakusaidia sana ..
Kwa hiyo mwaka mzima upite hajanyandua?Michache hiyo hujapona vizuri fanya nusu mwaka or a year kabisa ndiyo recommended, au mwenzetu una moyo wa chuma?[emoji3]