Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,405
- 114,843
Kamwe Usifosi atention hasa kwenye mapenzi
Ukweli mchungu ni kwamba TAFUTA HELA MKUUNimetoka kuachana na mpenzi wangu niliempenda kama Miezi minne iliyopita. Basi baada ya Mda huo nikaweza kupatana na Mdada mwingine mzuri sana, nikarusha swaga zangu za hapa na pale. Asee kweli kutongoza ni mchakato na inaboa kwa kiasi fulani Kwani sasa hivi mimi ndio wa kumtafuta yeye na kumshawishi Nini nitamuoffer kwenye new relationship.
Kutongoza kunachosha, napenda kutulia na mtu mmoja tu kuepusha hizi rabsha.
Moto hauzimi sio[emoji23]Mkuu inategemeana Mtu na Mtu. Mda si ndio hio miezi minne.
Michache hiyo hujapona vizuri fanya nusu mwaka or a year kabisa ndiyo recommended, au mwenzetu una moyo wa chuma?😀Mkuu inategemeana Mtu na Mtu. Mda si ndio hio miezi minne.
"Nini nitamuoffer kwenye new relationship."Nimetoka kuachana na mpenzi wangu niliempenda kama Miezi minne iliyopita. Basi baada ya Mda huo nikaweza kupatana na Mdada mwingine mzuri sana, nikarusha swaga zangu za hapa na pale. Asee kweli kutongoza ni mchakato na inaboa kwa kiasi fulani Kwani sasa hivi mimi ndio wa kumtafuta yeye na kumshawishi Nini nitamuoffer kwenye new relationship.
Kutongoza kunachosha, napenda kutulia na mtu mmoja tu kuepusha hizi rabsha.
Huyu hatafuti mpenzi bali anatafuta mtu wa kumsaidia kupambana na upweke......akipona upweke ndio anatafuta mpenzi........ni tukio baya sana kumfanyia kwa kuwa unatumia hisia zake kuzima maumivu yake......Michache hiyo hujapona vizuri fanya nusu mwaka or a year kabisa ndiyo recommended, au mwenzetu una moyo wa chuma?😀
Changamoto ni mwili haujipi muda, wenyewe unachemka tu! Hahaaa, ndio changamoto inayomkabili pia mshikaji.Aftet breakup unatakiwa kujipa muda kabla hujaingia mahusiano mengine.
Ni kweli ila akijikeep busy mwili unasahau au utazoeaChangamoto ni mwili haujipi muda, wenyewe unachemka tu! Hahaaa, ndio changamoto inayomkabili pia mshikaji.
Inategemea demu atakwambia nini au atabehave vip wakati unamtongoza ila kwa huo mstari nilio uquote, demu kuzunguka ila alicho maanisha atafute hela.[emoji1787][emoji1787] mkuu huo mpunga ni kiasi gani?Kwa hiyo tusio na pesa hatustahili kupendwa?
2.3 Billion tshs minimum maximum 230B tshs I'm not jocking all ma guys dem know me[emoji1787][emoji1787]hela kiasi gani sasa.
Kwa kweli ni shida! Na wanajua kuringa hawa wadada, akiwa mzuri wa sura na shape ndo taabu kabisaaaa...Nimetoka kuachana na mpenzi wangu niliempenda kama Miezi minne iliyopita. Basi baada ya Mda huo nikaweza kupatana na Mdada mwingine mzuri sana, nikarusha swaga zangu za hapa na pale. Asee kweli kutongoza ni mchakato na inaboa kwa kiasi fulani Kwani sasa hivi mimi ndio wa kumtafuta yeye na kumshawishi Nini nitamuoffer kwenye new relationship.
Kutongoza kunachosha, napenda kutulia na mtu mmoja tu kuepusha hizi rabsha.
NAKAZIA HAPAAnalinganisha, futa mawasiliano naye, ingawa najua namba unayo kichwani! Akipiga, pokea kama simu ngeni! usihangaike kumfunua ndio umuache, hana thamani hiyo!
Ni maoni tu
Acha kutulalamikiaHapana mkuu. Chimbo sihitaji nahitaji Mtu wa kutulia nae.