Steven mushi mushi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 533
- 741
Teh teh noma aiseeHii ndio timu ya ushindi
![]()
Ukweli ni upi mkuu...?Huo ni uzushi tu. Hakuna kitu kama hicho. Ila wanapenda kutukaririsha tu mavitu ambayo hata hayakuwepo
Hii ni sawa na pale wanapowaaminisha Mvumbuzi wa ziwa Victoria alikuwa mzungu wakati tayari Wasukuma, Wahaya, Wajita na Wakerewe walikuwa wakiishi pale na kuogelea ziwani.
Wapuuzi sana hawa wazungu.
Kwa hoja hiyo.. Kamwe siongeziHuo ni uzushi tu. Hakuna kitu kama hicho. Ila wanapenda kutukaririsha tu mavitu ambayo hata hayakuwepo
Hii ni sawa na pale wanapowaaminisha Mvumbuzi wa ziwa Victoria alikuwa mzungu wakati tayari Wasukuma, Wahaya, Wajita na Wakerewe walikuwa wakiishi pale na kuogelea ziwani.
Wapuuzi sana hawa wazungu.
Ukweli ni kuwa, mbona manyani hayabadiliki siku hizi na kuwa watu.Ukweli ni upi mkuu...?