Mmmhh Lundala wewe hebu acha uongo bana wakati wa majambozi hiyo Shikamoo hata kama kaisema haitasikikia kavu kavu kihivyo unless uniambie ni wewe ndo alikuwa anakwambia shikamoo vinginevyo huo ni uongo maneno huwa hayatoki mazima mazima
maneno huwa hayatoki mazima mazima
hilo nalo neno,Mmmhh Lundala wewe hebu acha uongo bana wakati wa majambozi hiyo Shikamoo hata kama kaisema haitasikikia kavu kavu kihivyo unless uniambie ni wewe ndo alikuwa anakwambia shikamoo vinginevyo huo ni uongo maneno huwa hayatoki mazima mazima
Imeniletea kelele ambazo zilifanya nikachelewa kulala,kesho yake asubuhi waliockia walimwekea kikao bibie wakamuambia kuwa apunguze kelele wakati wa uchakachuaji.
hilo nalo neno,
rudia wewe hiyo shikamoo ingetokaje?
Ndugu yangu Gazeti we angalia sentensi imeanzaje mpaka kufikia kutajwa hilo neno ili upate maana kamili
Labda dudu lilikosea mlango na likapitia dirisha la uani....! Si umesema umeme umekatika?Kweli uswahilini kuna mambo,juzi umeme ulikatika c mnajua 2po kwenye mgao,sasa kipindi wanachakachuana demu akawa anapiga kelele na pia KUMSALIMIA MSHIKAJI WAKE SHIKAMOO!SHIKAMOO!SHIKAMOO!yaani hadi kero kwa wapangaji wengine.Jamani akina dada punguzeni mizuka wakati wa kuchakachuana.