Mkuu natumia fursa hii kuku 'tag''
Mkuu de jure kwa maana ya madai inabidi tuangalie wameondokaje.Kwa sasa, kuondoka kwa Uingereza toka EU (Brexit) ni De jure.
Tusubiri kuondoka kihalisia (De facto) kutakuwa kuondoka kweli au kutakuwa BINO (Brexit in Name Only.)
Hali ya POUND ktk masoko ya fedha imekuwa tete, mpaka sasa GBPUSD imeonesha dalili ya kufikia ile extreme low ya 1985 baada ya kuvunja ile brexit support ya DEC 2016 na mwaka jana, bado nafuatilia kwa ukaribu hatma yakeMimi kwa hili la Brexit niko interested zaidi na athari kwa masoko ya fedha hasa kwa pair ya GBPUSD, hali hii ya sintofahamu mpaka sasa naona itapelekea pound kudondoka hadi kufikia low ya 1985 ambabo mpaka sasa ni takribani miaka 34 imepita (je soko litakumbuka hii historia?).Pound crash ya mwaka 1992 ,2008 na ile crash ya June 2016 wakati wa kura ya kujitoa EU yote naona iliashiria kuileta pound chini zaidi, ila mwisho wa siku naamini muafaka utapatikana utaopelekea uchumi uanze kuimarika tena kuanzia mwakani.
Nimegusia hili la masoko ya fedha baada ya kujaribu kuianalyse chart ya currency pair husika ya tangu mwaka 1971 mpaka sasa
Kwa sasa, kuondoka kwa Uingereza toka EU (Brexit) ni De jure.
Tusubiri kuondoka kihalisia (De facto) kutakuwa kuondoka kweli au kutakuwa BINO (Brexit in Name Only.)
Mkuu UK wanaondoka rasmi mwezi wa 12 mwaka huu. Mazungumzo yanaendelea baada ya kukubaliana mwamzoni mwa mwaka huu wao kung'atuka. Tangu wakubaliane mwaka jana December kuna muda wa mpito (one year) ambao ndio unaisha December 2020.Naomba kuelimishwa: Mpaka tunapoenda mitamboni leo Jumatatu tarehe 23 Novemba 2020: Uingereza iko ndani ya EU au iko nje?
Shukran mkuu. Wasije tu wakahamisha magoli.Mkuu UK wanaondoka rasmi mwezi wa 12 mwaka huu. Mazungumzo yanaendelea baada ya kukubaliana mwamzoni mwa mwaka huu wao kung'atuka. Tangu wakubaliane mwaka jana December kuna muda wa mpito (one year) ambao ndio unaisha December 2020.
Mazungumzo ambayo yanaendelea ni kuleta seamless talaka inayolenga kukubaliana kwenye mfumo mpya i.e. watakuwa wanafanya trade kama Australian model au vinginevyo, hii inahusika zaidi na mambo kama uvuvi, biashara ya vyakula nk. Deadline ya mazungumzo ni December kama wakikubaliana UK itawalipa EU £40 billion kama divorce fee/bill. Kama wakishindwa kukubaliana UK hawatalipa £40 billion (Devorce fee/bill).
Boris Johnson (BJ) alikataa kulipa hiyo divorce fee/bill na EU wako mbogo kwa suala hilo ingawaje EU wamejiandaa vya kutosha kwa sababu hata financial sector wameshahamisha nje ya UK, ingawa LSE bado ina nguvu kubwa.
Please note BJ agenda yake tangu mwanzo ilikuwa kuiondoa UK kutoka kwenye makucha ya EU. Ikumbukwe kwamba BJ alikuwa Brussels makao makuu ya EU kwa miongo kadhaa kama mwandishi wa one of the British tabloid kwa miongo kadhaa hivyo inaifahamu na kujua the working of EU inside out na ndiye alifanya kampeni kubwa ya kuiondoa UK. UK wataondoka rasmi end of December 2020 without an agreement unless the Europeans backs down. UK wanachotaka ni kuondoka without an agreement under BJ leadership.
Tatizo/urahisi wa mataifa makubwa ni kuamua wanataka pesa yao ifike kwenye value gani kutegemeana na malengo yao (ERM). Kumbuka UK wamemaliza kulipa deni la vita ya kwanza ya dunia less than six years ago. Hiyo ni advantage kubwa sana kwao.Hali ya POUND ktk masoko ya fedha imekuwa tete, mpaka sasa GBPUSD imeonesha dalili ya kufikia ile extreme low ya 1985 baada ya kuvunja ile brexit support ya DEC 2016 na mwaka jana, bado nafuatilia kwa ukaribu hatma yake
BJ is very serious na ndiye amekuwa ana-wa frustrate EU kwa sababu hataki kulipa £40 billion.Shukran mkuu. Wasije tu wakahamisha magoli.
Sijui kwa nini for some reasons I get tingling sensation kwamba hakuwi na Brexit. Zote hizi zinakuwa ni kama danganya-toto-jinga-kula-kande-mbichi. Kama hisia hizi ni za kweli, ifikapo Januari 01 2021 Britain itakuwa bado ndani ya EU.BJ is very serious na ndiye amekuwa ana-wa frustrate EU kwa sababu hataki kulipa £40 billion.
I don't think so, kwa sababu tayari karibu mwaka mzima sasa hawashughuliki na maswala mengi yanayohusu EU. Hata EU nationals wamepungua sana na kuleta mtikisiko wa property market. Shughuli nyingi ambazo EU walikuwa wanafanyia UK zimeondolewa na kuhamishiwa kwenye member countries. Kuondoka wanaondoka swala gumu ni wataondoka kwa shari au la! (With agreement or not).Sijui kwa nini for some reasons I get tingling sensation kwamba hakuwi na Brexit. Zote hizi zinakuwa ni kama danganya-toto-jinga-kula-kande-mbichi. Kama hisia hizi ni za kweli, ifikapo Januari 01 2021 Britain itakuwa bado ndani ya EU.