Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,826
Ile ishu ya kuajiriwa Al-Jazeera ilikuwa uzushi?
Asianzishe tena kipindi cha MCHAKATO MAJIMBONI vinginevyo Mwananachi Communication itafungiwa na Dr. Nchimbi Waziri habari na utamaduni.
Nakuunga mkono mkuu wangu! Hata Abdalah Majura ana redio yake! Tido bado anahangaika tu!As matter of fact, alitakiwa kuwa na media house yake given uzoefu na exposure aliyonayo vinginevyo sio sahihi kuendelea kuajiliwa kwa umri wake. Some thing is wrong kwa huyu mzee na wazee wengine wa wazamani, wamepiga sana hela na hata biashara serious wameshindwa kuanzisha matokeo yake wahindi wanaanzisha kila kitu na wao wanaajiriwa tena.
Hatari yake imedia imeshikwa na watu wasi stahili.
Wananchi communications..wow..majua Ally Mfuruki atakua amempigia chapuo since he's the chairman of Wanachi Group for the whole EA..
Ile issue ya Aljazeera kiswahili imeishia wapi?