NONGWA
Senior Member
- Mar 10, 2012
- 142
- 116
Habali=Habari
mh! we shansila hizo helufi zinanishinda aisee
Habali=Habari
katika fani ya uandishi wa habari hakuna kustaafu.Kaka Tido naye umri umesogea machweo, nakumbuka alivyoondoka BBCSwahili alisema umri umekwenda na anakwenda nyumbani kujiandaa na maisha ya ustaafu, sasa haya ya ajira vipi?!.
Wananchi group haihusiani na Mwananchi Communication wala Nationmedia...Wananchi communications..wow..majua Ally Mfuruki atakua amempigia chapuo since he's the chairman of Wanachi Group for the whole EA..
Ndiye aliyeifikisha TBC hapo ilipo
Tido Mhando, Mkurugenzi Mpya wa Mwananchi Communication Limited inayomiliki magazeti ya Mwananchi, Mwanaspoti na The Citizen. Habari zaidi soma Mwananchi kesho
Heeeeeeeeeeeeh! Si juzi juzi tu tuliambiwa kuwa ameula huko Aljazeera Swahili service yenye ofisi zake Nairobery imekuwaje tena?
Corresction kidogo mkuu, Mufuruki is no longer MCL chairman, alishamaliza muda wake, Mwenyekiti wa MCL sasa hivi ni Mama Zuhura MuroWananchi communications..wow..majua Ally Mfuruki atakua amempigia chapuo since he's the chairman of Wanachi Group for the whole EA..