Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 790
- 1,961
BARIKIWA SANA MKUU
This is the Best Thread ever hapa JF be blessed kwa tafakuri nzuriHabari,
Je unajua kwamba duniani tunaishi muda mfupi sana? fikiria hivi, mwaka mmoja ni siku 365, miaka 10 ni siku 3650 na miaka 100 ni siku 36,500 tu...
Kama miaka 100 ni siku elfu thelathini na sita na mia tano, na wengi wetu hatutofika umri huo, hii ina maana kwamba wengi wetu humu hatutoishi siku 36,500.
Huu ndio ukweli,
Duniani ni sehemu ya kuishi muda mfupi sana hivyo tujitahidi kufanya mambo mema ya kumpendeza Mwenyezi Mungu.
Ahsante...
Kwa wachache wanaojitambua!!This is the Best Thread ever hapa JF be blessed kwa tafakuri nzuri
This is the Best Thread ever hapa JF be blessed kwa tafakuri nzuri
Na waliozaliwa na maabara?Hakika mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi...
TUPENDANE
Hao sijui hatima yaoNa waliozaliwa na maabara?
Ijapokua watu hawachangii nyuzi haki kamahizi mi niunge mkono hoja nakuketi nikisubili wakongwe wenzangu tukikutana hapa