Duniani kuna watu wenye hila

Duniani kuna watu wenye hila

Mr C Kauli huru

Senior Member
Joined
Nov 26, 2023
Posts
176
Reaction score
235
Naongea hili kwa uchungu kuna watu wana HILA. Mtu huyu hataki mwenzake apate anataka apate mwenyewe. Alicho nacho hatamani mwingine awenacho, mwenzake akipata ye hana nikosa. Yaani ni watu wasiotamani maendeleo wala chochote kwa wenzao.

Ziko koo, gamili, hata kabila au eneo flani unakuta waiishio eneo hilo wote wamejaa Hila. Hila kwanza ndo uchawi wenyewe hila ndo hata hurudosha maendeleo nyuma. Kuna vijiji nchini vimejaa hila.

Ikiwa kuna mtu ashawai kutana na hawa watu wa hivi njoon tujadili tujue tatizo hili hutatuliwaje. Ni roho inaweza shika kijiji, mtaa flan yaaan Watu wahapo wamejaa hila haijalishi mtoto au mtu mzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom