Duniani kuna vituko..

Sasa Mkuu majukumu yote yakiwa ya mke unadhani kila jukumu litatekelezeka basi, zaidi madhara yake yatakuwa kama hayo sasa.
Nionavyo jambo dogo kama hilo mulifanye tu ikitokea nafasi imepatikana basi tutawakata tu.
Mkuu sio wote tunaweza kufanya mwenzetu kashindwa hata hilo dogo
 
Uzembe wake Mkuu na kujiendekeza tu sababu akiamua hata dkk 20 nyingi ameshamaliza.

Sababu sidhani kama anapata cha zaidi pale zaidi ya kukatwa kucha na kuosha miguu pekee.
 
Anatumia hela yake mkuu
 
Hahah huko kujifanya mna mambo mengi ndio hapo hapo michepuko inapopataga credits.

Muwe makini mkumbuke mna ushindan mkubwa saana from small house
 
Aah! Jirani saa ingine hata huwa kufanya yote hakusaidii.

Ila tutajitahidi.
 
Sasa Mkuu majukumu yote yakiwa ya mke unadhani kila jukumu litatekelezeka basi, zaidi madhara yake yatakuwa kama hayo sasa.

Nionavyo jambo dogo kama hilo mulifanye tu ikitokea nafasi imepatikana basi tutawakata tu.
Nimekumbuka posts za emmyta. That avatar is superb!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…