Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 10,890
- 18,836
- Thread starter
-
- #61
Kukusaidia mkuu. Hizo ni maabara.Mbona zipo nyingi kuna mabara ya hapa sinza,kuna mbezi zipo kama 200,mbagala usiseme zipo mpaka za kutoa mimba wewe unataka mabara gani njoo inbox nikupe namba
Wanaita Oceania(Australasia yenyewe, Polynesia, Micronesia na Melanesia). Sasa hivi visiwa hata havitakiwi kuwa bara moja na Australia maana viko kwenye plate tofauti kabisa.Siku hizi wanaitwa Australasia....
Yaani Australia na New Zealand na visiwa vyao
Ndiyo nijue zaidi. Yapo mangapi? Kuna mkanganyiko hapo.Sasa kumbe unayajua mabara? I thought umeandika thread ili ujue zaidi,...
Europe halijazungukwa na maji wala hakuna European plate. Uhuni.And that makes it okay?
Yaani ili bara liitwe bara lazima liwe surrounded na maji lakini kipande Chao wale wazungu wakaamua Tu kusudi kuita bara na hakuna maji surrounded...na wewe ndo imekubali kama tutusa? seriously??
Mbona walipokwambia Dr Livingston ndo kagundua Ziwa Tanganyika...umeamka na kupinga...
Christopher Columbus kagundua America?waliokuwa wanaoishi kabla hajafika je??
Mbona vitu vingine viko so open...
Hakuna bara linaitwa Europe...
Kama ambavyo Hakuna mtu kutoka Ulaya aliekuja Africa na kusema binadaamu wa kwanza kugundua Mlima Kilimanjaro....wachaga wale na wamasai ni wanyama????
Ndiyo kitu tulitakiwa kufundishwa. Criteria za kudefine continents na idadi yake kulingana na kila Criteria. Si kumezeshwa tu kuna mabara saba.
9:15 haiwezekani. Possibly ataishia 10:10
Mkuu 9:15 atachanua miguu yote kulia na kusshoto bibi awe wazi9:15 haiwezekani. Possibly ataishia 10:10
bara ni ocenia. australia, new zealand ni nchi ndani ya bara hiloAustralia ni bara? Sijawahi sikia bara linaitwa Australia.
Kama ni mwanamke wa kawaida tu hawezi labda we anafanya mazoezi sana na viungo vyake ni flexible. Mwanamke wa kawaida atachanua mwisho 10:10. Wachache sana ndiyo wataweza kuchanua hadi 9:15Mkuu 9:15 atachanua miguu yote kulia na kusshoto bibi awe wazi
Ndiyo ni bara, umesoma shule miaka gani hiyo?Australia ni bara? Sijawahi sikia bara linaitwa Australia.
Geography umesoma wapi?
Kwani America si kuna North America kwa kina Trump and South America kwakina Gaucho?Africa
Eurasia
Australasia..
America
Americas
Antarctica
Bara la Ulaya ni lipi?A continent ni a big piece of land surrounded by water...sasa Europe inakuwaje continent??we hutumii akili?au kisa umekaririshwa na wazungu??
North ni AmericaKwani America si kuna North America kwa kina Trump and South America kwakina Gaucho?
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Tuseme wameamka nazo?Mmetoka bar mnaanza kubishana
Europe ni peninsula Tu au subcontinent.... Wao sio Continent
Hivi walimu humu hawapo au wanakucheka tuNdiyo nijue zaidi. Yapo mangapi? Kuna mkanganyiko hapo.
List inaendelea hapo chini, we ni mtu mzima lakini unakuwaga mbishi sana wa kitoto