Duniani hakuna kitu kipo kwa bahati mbaya

Duniani hakuna kitu kipo kwa bahati mbaya

Kuna kitu kinaitwa "The secret runner of human," hiyo hata goggle huikuti na aliyeandika mpaka Leo hajulikani. Humo utajifunza Siri nzito za dunia hii, utafunguka ubongo na kujifunza mengi.
Na alieandika hio bado hajazaliwa tuendelee kusubiria utungwaji wa mimba yake,
 
Matatizo ya nguvu za kiume, kitambi,Kisukari na matatizo mengine ya Binadamu.
Kuna michezo inachezeka inalega eneo maalamu
80% ya nguo zinazovaliwa Dunia zinatengenezwa kwenye ulimwengu 2. Kuna viwanda vingi mizigo ya Nguo inaingia ,asubuh kiwanda wakifungua unakuta Mzigo wa Nguo iko tayari kusafirishwa.
 
Back
Top Bottom