Duniani hakuna kitu kipo kwa bahati mbaya

BIG THINKER

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2018
Posts
699
Reaction score
1,516
Iko hivi vyote unavyoviona Duniani hakuna kitu kipo kwa bahati mbaya, kuanzia ugumu wa maisha hadi magonjwa asilimia kubwa vipo kimkakati kwa lugha nyepesi vimeoangwa.

Usihangaike sana na Dunia speed yako iko limit hakuna siku utakumbia zaidi ya speed iliyowekwa. Unasema big thinker nasema nini?

Iko hivi hata hiyo simu uliyonayo ina muda wa kuisha matumizi yake ili ununue nyingine, usifikiri hawana uwezo wa kutengeneza sim ya chuma ukanunua na kutumia Miaka yote, uwezo wanao ila wanafanya hivyo kwa lengo maalum.

Nataman nitoe formula inayotumiwa na hawa jamaa ila naona bado uwezo wako ni mdogo, tuombe Mungu siku moja nikupe Siri nzito za utafutaji ambazo hakuna kitabu utazikuta zimeandikwa.

Kuna kitu kinaitwa "The secret runner of human," hiyo hata goggle huikuti na aliyeandika mpaka Leo hajulikani. Humo utajifunza Siri nzito za dunia hii, utafunguka ubongo na kujifunza mengi.

Kwa leo naishia hapo.
 
Kweli kuna siri lukuki duniani hapa na ukweli ni kwamba usipoutambua mchezo na kujitambua fika huna tofauti na kuku wa kufuga, ndio ukweli wenyewe huo mengine mtayajua tartibu.
 
Iko hivi vyote unavyoviona Duniani hakuna kitu kipo kwa bahati mbaya, kuanzia ugumu wa maisha hadi magonjwa asilimia kubwa vipo kimkakati kwa lugha nyepesi vimeoangwa.

Usihangaike sana na Dunia speed yako iko limit hakuna siku utakumbia zaidi ya speed iliyowekwa. Unasema big thinker nasema nini?

Iko hivi hata hiyo simu uliyonayo ina muda wa kuisha matumizi yake ili ununue nyingine, usifikiri hawana uwezo wa kutengeneza sim ya chuma ukanunua na kutumia Miaka yote, uwezo wanao ila wanafanya hivyo kwa lengo maalum.

Nataman nitoe formula inayotumiwa na hawa jamaa ila naona bado uwezo wako ni mdogo, tuombe Mungu siku moja nikupe Siri nzito za utafutaji ambazo hakuna kitabu utazikuta zimeandikwa.

Kuna kitu kinaitwa "The secret runner of human," hiyo hata goggle huikuti na aliyeandika mpaka Leo hajulikani. Humo utajifunza Siri nzito za dunia hii, utafunguka ubongo na kujifunza mengi.

Kwa leo naishia hapo.
Vzuri kabisa
 
weekend ishaisha uamke sasa
 
Kichwa Cha habar n kzur dogo Ila ulichokisema ndan no tofaut na ulivyomaanisha nimesoma kama mala mbili na bado sijaelewa andika kitu cheny lugha mzur ambayo ukimfikishia mtu anawez akaelewa trip hii umefer ndg kwa mada hiii

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu umeongea mambo makubwa sana ambayo Mfumo haupendi wengi tuyafahanu kwakuwa itakuwa inaingilia maslahi ya walioasisi mifumo ya Ulimwengu.
Kama itakupendeza fanya kutusambazia upendo wa hiyo article uliyoitaja kwenye andiko lako na utabarikiwa kwa kuwa sehemu ya utatuzi wa changamoto zinazowakumba wengi

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa
 
Iko hivi vyote unavyoviona Duniani hakuna kitu kipo kwa bahati mbaya, kuanzia ugumu wa maisha hadi magonjwa asilimia kubwa vipo kimkakati kwa lugha nyepesi vimeoangwa.

Usihangaike sana na Dunia speed yako iko limit hakuna siku utakumbia zaidi ya speed iliyowekwa. Unasema big thinker nasema nini?

Iko hivi hata hiyo simu uliyonayo ina muda wa kuisha matumizi yake ili ununue nyingine, usifikiri hawana uwezo wa kutengeneza sim ya chuma ukanunua na kutumia Miaka yote, uwezo wanao ila wanafanya hivyo kwa lengo maalum.

Nataman nitoe formula inayotumiwa na hawa jamaa ila naona bado uwezo wako ni mdogo, tuombe Mungu siku moja nikupe Siri nzito za utafutaji ambazo hakuna kitabu utazikuta zimeandikwa.

Kuna kitu kinaitwa "The secret runner of human," hiyo hata goggle huikuti na aliyeandika mpaka Leo hajulikani. Humo utajifunza Siri nzito za dunia hii, utafunguka ubongo na kujifunza mengi.

Kwa leo naishia hapo.
Bwana mdogo umeanza kuchanganyikiwa rasmi. Rudi Mirembe ukaendelee na dose yako.
 
Hivi heading imeeditiwa ama nini mbona comment zinauliza siri iko wapi

Anyways...
Hadi nikakumbuka muvi ya kihindi aisee inaitwa Ajnabee

Everything is planned
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom