Dunia yazidi kumpongeza na kumuunga mkono Rais Magufuli

Acha uongo mkuu...kwa muda ulioandika hii post saa 09:55 am(25/07/2017) hapa tz ni sawa na saa 23:55 pm(24/07/2017)kwa saa za California.
sasa iweje mda huo wa California usiwe unatafuta angalau dinner na malazi badala yake ukamtafute mange kula lunch?
 
Mbona rahisi tu kumwelewa mleta uzi? Wala huitaji nguvu na akili kubwa. Hii ni dhihaka(sarcasm) ya kiwango cha juu kabisa.
 
Huwezi acha kumsifia Rais kama Magufuli ni mfano wa kuigwa.

Akimaliza 10 tunamuongezea.
 
kiukweli President works hard anahitaji big up kutoka ndani ya nchi, kuondoa unafiki, he deserves kuwa rais etu.
 
Rais huyu mzalendo kumbe anakubalika mno, hayuko peke yake. Nimepitapita states kadhaa za Marekani, sasa niko calfonia yapata wiki sasa, nikiwa nimetokea China kwenye shughuli zangu za kibiashara.

Jamaa ana make headlines vibaya mno hasa ishu ya kulinda rasilimali za nchi hasa madini wanamkubali mno. Huku USA nimewaambia natoka East Africa wanauliza Tanzania? Wanauliza, are you from the country of TRUMPH OF AFRICA? or from Nigeria?

Yaani nchi za Africa zinazojulikana huku duniani ni Tanzania kwa sababu ya Magufuli na Nigeria. Bado nipo nipo hapa, baadae jioni nataka nimtafute dada yangu Mange kwa lunch au dinner nipige naye story.

Yeyote aliyepo huku anichek tubadilishane mawazo.
Naona mnataka tena wale watangazaji waTBCccm wapewe ban kwa mara nyingine kwa tabia zenu za kuzusha uongo wa kumsifia Sizonje aka baba ubaya?Haya bwana G.Zakaria habari hiyo mmepewa itangazeni.
 
TRUMPH" ndo mdudu gani? Wamsifie Magufuli kwa kipi alichokifanya? Msilete michezo ya bao humu mkiwa ofisi zenu za ccm
ccm, inakujaje hapo mkuu? Rais ni wa wa Tz wote ukiwapo nawewe, so inabidi tumuunge mkono kwa vitendo Rais wetu
 
Back
Top Bottom