Dunia yazidi kumpongeza na kumuunga mkono Rais Magufuli

Sijaambulia lolote zaidi ya kwamba, ulikua China na sasa upo USA na wewe ni mfanya biashara ambae unapanga jioni ifike ukamtafute Mange ili mpate lunch au dinner..... ambapo pia haujui kwamba wakati huo utakua ni muda wa chakula gani....
Mkuu nilikuwa nataka na mimi, nitoe yangu ila Avatar yako na ulichokiandika ni jibu tosha #JF_miaka_10000000000
 
Mkuu, mimi mwenyewe katika pitapita zangu huku naona watu wanamsifia na wanamkubali kweli Lissu, haswa kwa kutokukubali kinyamaza na kusimamia kidete haki ya kutoa maoni!

Je utaniamini kwa haya maneno matupu?

Nimekuonyesha tu, jinsi gani hata mimi naweza kujikunja nikaandika mtu fulani anasifiwa kumbe sio ukweli, ni mahaba yangu tu!
Lakini wewe maneno yako yanakaribiana na ukweli
 
Rais huyu mzalendo kumbe anakubalika mno, hayuko peke yake. Nimepitapita states kadhaa za Marekani, sasa niko calfonia yapata wiki sasa, nikiwa nimetokea China kwenye shughuli zangu za kibiashara.

Jamaa ana make headlines vibaya mno hasa ishu ya kulinda rasilimali za nchi hasa madini wanamkubali mno. Huku USA nimewaambia natoka East Africa wanauliza Tanzania? Wanauliza, are you from the country of TRUMPH OF AFRICA? or from Nigeria?

Yaani nchi za Africa zinazojulikana huku duniani ni Tanzania kwa sababu ya Magufuli na Nigeria. Bado nipo nipo hapa, baadae jioni nataka nimtafute dada yangu Mange kwa lunch au dinner nipige naye story.

Yeyote aliyepo huku anichek tubadilishane mawazo.
MCHEWWWWWWWWWWWWWWWWWW
 
Kuwa makini mkuu..
Calfonia ndio dunia nzima au ni wale wale wa ile kanda ile ile..na watampongeza kwa kipi alichofanya more than viongozi wote africa....
Haa haaaa haaa lol
 
Rais huyu mzalendo kumbe anakubalika mno, hayuko peke yake. Nimepitapita states kadhaa za Marekani, sasa niko calfonia yapata wiki sasa, nikiwa nimetokea China kwenye shughuli zangu za kibiashara.

Jamaa ana make headlines vibaya mno hasa ishu ya kulinda rasilimali za nchi hasa madini wanamkubali mno. Huku USA nimewaambia natoka East Africa wanauliza Tanzania? Wanauliza, are you from the country of TRUMPH OF AFRICA? or from Nigeria?

Yaani nchi za Africa zinazojulikana huku duniani ni Tanzania kwa sababu ya Magufuli na Nigeria. Bado nipo nipo hapa, baadae jioni nataka nimtafute dada yangu Mange kwa lunch au dinner nipige naye story.

Yeyote aliyepo huku anichek tubadilishane mawazo.

Kwa hiyo wewe unafikiri "Trump of Africa" ni sifa?
 
Hata south africa hawaijui?

Today
 
Acha uongo wewe! Dunia gani unayoizungumzia hapa!? Dunia ya mtaa wa Lumumba!? Hebu tuwekee ushahidi wa hizi porojo zako.

Rais huyu mzalendo kumbe anakubalika mno, hayuko peke yake. Nimepitapita states kadhaa za Marekani, sasa niko calfonia yapata wiki sasa, nikiwa nimetokea China kwenye shughuli zangu za kibiashara.

Jamaa ana make headlines vibaya mno hasa ishu ya kulinda rasilimali za nchi hasa madini wanamkubali mno. Huku USA nimewaambia natoka East Africa wanauliza Tanzania? Wanauliza, are you from the country of TRUMPH OF AFRICA? or from Nigeria?

Yaani nchi za Africa zinazojulikana huku duniani ni Tanzania kwa sababu ya Magufuli na Nigeria. Bado nipo nipo hapa, baadae jioni nataka nimtafute dada yangu Mange kwa lunch au dinner nipige naye story.

Yeyote aliyepo huku anichek tubadilishane mawazo.
 
Kwa jinsi Trump anavyodharauliwa na wamarekani, kumfananisha malaika wetu na Trump ni sawa na kumfanyia demotion.
Usiwe unakurupuka kuandika kila kitu bila kuchanganya na zako, sio za kuambiwa pekee.
 
Back
Top Bottom