Wanajeshi sometimes bwana....! Naomba niishie hapahapa
Halafu sasa ni majirani zangu
haha pole mkuu! mm pia
Upstairs wako empty halafu wana sifa za kitoto na kijinga pamoja na roho mbaya, kuna mmoja alishawahi kuniomba ushauri afanyeje gari yake isifunguke milango ya nyuma kwakuwa watu wanaomba sana lift. By then ilikuwa nI HYUNDAI SONATRA/SONATA?
...kuna mmoja alishawahi kuniomba ushauri afanyeje gari yake isifunguke milango ya nyuma kwakuwa watu wanaomba sana lift. By then ilikuwa ni HYUNDAI SONATA?