Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 8,164
- 18,675
- Thread starter
- #21
Kaka mimi nimezaliwa Migo migo na kukulia hapo ila hizo mambo huwa sitakagi kuziintertain kabisa ndio maana viwanja vya namna hiyo town huwa naviepuka, then sikutegemea kukutana na huo ushenzi huku chugaUmechelewa kuja mjini mzee