La mujar
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,586
- 1,793
Naamin utapata ila usichague sana mjukuu wng.. Kumbuka mchagua nazi............bibi bhana.
Niombee nipate chema kizuri cha kukileta ukione kabla haujafa bibi
Naamin utapata ila usichague sana mjukuu wng.. Kumbuka mchagua nazi............bibi bhana.
Niombee nipate chema kizuri cha kukileta ukione kabla haujafa bibi
Sitaambulia koroma bibi...Naamin utapata ila usichague sana mjukuu wng.. Kumbuka mchagua nazi............


Ha ha ha wanaumeDaah hapana ngoja ni scrow back nikaangalie tena.
Husband akichepuka na huyo si unamsamehe tu?Poleeee
Safi..... Ila asinijie na t*ko nje kama hawa wa siku izi naowaona uku mtaani,Sitaambulia koroma bibi...
Nitampata kama wewe![]()
Weeeeeee kwani yake ya gold?????Husband akichepuka na huyo si unamsamehe tu?
Safi..... Ila asinijie na t*ko nje kama hawa wa siku izi naowaona uku mtaani,
ntampa vifinyo vya kutosha

..Ha ha ha haaaaaaa..... Chura halafu kichwani boga aje ashindwe kunitunzia vitukuu vyangu..... Chura na kichwani pawe vema mjukuu..
Bibi hayo wanaita show what your mom gifted to you. Kwani hautaki mjukuu nijiopolee mwenye chura
Ha ha ha haaaaaaa..... Chura halafu kichwani boga aje ashindwe kunitunzia vitukuu vyangu..... Chura na kichwani pawe vema mjukuu
Sasa wewe ndio uchague, chura ila kichwani maji... Hadi dawa za watoto wakiiumwa uje uwpe wewe maana haelew ipi aliyombiwa ya mchana na ip ya usiku.... Au chura hamna kichwani yuko smart kila ukirudi mambo yameshaenda safi zamaaani?!!! Chaguo lako mjukuu wnguInawezekana bibi?
Teh..sema tu wewe babu alikuwahi bibiSasa wewe ndio uchague, chura ila kichwani maji... Hadi dawa za watoto wakiiumwa uje uwpe wewe maana haelew ipi aliyombiwa ya mchana na ip ya usiku.... Au chura hamna kichwani yuko smart kila ukirudi mambo yameshaenda safi zamaaani?!!! Chaguo lako mjukuu wngu

Teh..sema tu wewe babu alikuwahi bibi![]()
![]()
![]()
watoto wa siku izi mungu anawaona
![]()
![]()
watoto wa siku izi mungu anawaona
![]()

mapishi mema bibi...nakuja kula niandalieSawasawa...... Karibumapishi mema bibi...nakuja kula niandalie
Kumbe uko vizuri idara hiyo!Sawasawa...... Karibu