Ufanye niniBwahahaha
Mimi niachwe kwanza asee
Tamu sana hizo makitu hasa ukizijulia
Haya bwana mkuuUkishushwa vita ya tatu utaishuhudia wapi mkuu
Haya bwana mkuu
Amini duniani watu ni kama mchele. Kuna mchele wenyewe kama huyo hapo juu na vichengavichenga vya mchele. Ila vyote tunavila.
Hahaha. Hapa ndipo pale shekh kipozeo anabakigi kusema eeh itokee tu eeeh itokee tuHahahaha huu utakuwa mchele wa kyela sio shinyanga,, super mchele from kyela
Mkuu ujue ukishuka tu unaenda kwa sir.God je upo tayari?