Dunia simama nishuke

Dunia simama nishuke

Mungu wa Yakobo Mungu wa Isaka naomba unipe kama huyu nikae nae wiki mbili!!!
Ni Mungu yupi akupe mke Leo ili kesho umwache. Mungu hafanyi biashara za kihasara namna hiyo. Ukichukua umechukua mtajuana mbele huko
 
Fitu fisuri finapatikaña JF.Kuala akutule,ndagha fhijo!hatari
 
Kutokua na pesa ugonjwa mbaya sana bora cancer, aisee midude kama hiyo unazungusha tu minabaki mshana we shuka ynatuchelewesha na safari
 
Haya bwana mkuu
Amini duniani watu ni kama mchele. Kuna mchele wenyewe kama huyo hapo juu na vichengavichenga vya mchele. Ila vyote tunavila.
Hahahah ila vichengavichenga vinaliwa kwa sababu ya shida tu mkuu
 
Back
Top Bottom