Double line
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 365
- 813
Jamaa ni mchafu mpaka kwa mke wa kaka yake, hana heshima amekosa adabu kabisa, wapo watakao msifia ni mwamba lakini ni mpumbavu asiye na akili, labda tuulizane hapa ni kweli ametembea na wanawake 400, amepata faida gani?? hatapata na kaka yake tena kwa sababu ya huo upumbavu wake, hakuna ndugu wa familia atakuwa upande wake, ametengeneza mpasuko mkubwa kwa mke wake na watoto wake, ataishi kwa upweke sana hata kama hatatiwa hatiani, rafiki zake watamkwepa, wakimhofia asijetembea na wake zao, atakuwa mpweke, wana watakimbia na kibarua atapoteza, kiufupi ameharibu sanaYalotokea kwa huyu kiongozi wa equatorial ni ya kujifunza
Hii haki sawa kwa wanawake mwisho wake NI huko kujirahisisha
Kama unauwezo wa kuoa na kuitunza familia japo kwa Milo miwili kwa siku usiruhusu mwanamke atoke nje ya lengo ulomletea kwako muweke nyumban alee watoto na wajibu wake wa kutunza mji wewe usimame Kama baba tofauti na hivyo ni kutia mkono kizani
Unakuta mjuba usiku mmelala mzungu wa nne asubuhi mke anampelekea bosi wake kipochi manyoya walivyokuwa wa hovyo wengine hata vyupi hawavai anabinuliwa kila staili Kama mcheza ex
NIMESHANGAA SANA MWANAUME MMOJA KATEMBEA NA WANAWAKE 400+ HALAFU TOFAUTI TOFAUTI BADO JAMBO LA KUFIKIRIKA SANA
Huyo anaweza potezwa na wahanga wa hii skendo.Jamaa ni mchafu mpaka kwa mke wa kaka yake, hana heshima amekosa adabu kabisa, wapo watakao msifia ni mwamba lakini ni mpumbavu asiye na akili, labda tuulizane hapa ni kweli ametembea na wanawake 400, amepata faida gani?? hatapata na kaka yake tena kwa sababu ya huo upumbavu wake, hakuna ndugu wa familia atakuwa upande wake, ametengeneza mpasuko mkubwa kwa mke wake na watoto wake, ataishi kwa upweke sana hata kama hatatiwa hatiani, rafiki zake watamkwepa, wakimhofia asijetembea na wake zao, atakuwa mpweke, wana watakimbia na kibarua atapoteza, kiufupi ameharibu sana
Hana faida ya kuishi, ndio maana unaona aliofanya nao huo mchezo wameanza kujieliminate wenyewe, maana ni aibu kuuuHuyo anaweza potezwa na waganga wa hoi skendo.
Kwa Hilo upo sahihi mkuuJamaa ni mchafu mpaka kwa mke wa kaka yake, hana heshima amekosa adabu kabisa, wapo watakao msifia ni mwamba lakini ni mpumbavu asiye na akili, labda tuulizane hapa ni kweli ametembea na wanawake 400, amepata faida gani?? hatapata na kaka yake tena kwa sababu ya huo upumbavu wake, hakuna ndugu wa familia atakuwa upande wake, ametengeneza mpasuko mkubwa kwa mke wake na watoto wake, ataishi kwa upweke sana hata kama hatatiwa hatiani, rafiki zake watamkwepa, wakimhofia asijetembea na wake zao, atakuwa mpweke, wana watakimbia na kibarua atapoteza, kiufupi ameharibu sana
Mwamba anakunywa chai.Yalotokea kwa huyu kiongozi wa equatorial ni ya kujifunza
Hii haki sawa kwa wanawake mwisho wake NI huko kujirahisisha
Kama unauwezo wa kuoa na kuitunza familia japo kwa Milo miwili kwa siku usiruhusu mwanamke atoke nje ya lengo ulomletea kwako muweke nyumban alee watoto na wajibu wake wa kutunza mji wewe usimame Kama baba tofauti na hivyo ni kutia mkono kizani
Unakuta mjuba usiku mmelala mzungu wa nne asubuhi mke anampelekea bosi wake kipochi manyoya walivyokuwa wa hovyo wengine hata vyupi hawavai anabinuliwa kila staili Kama mcheza ex
NIMESHANGAA SANA MWANAUME MMOJA KATEMBEA NA WANAWAKE 400+ HALAFU TOFAUTI TOFAUTI BADO JAMBO LA KUFIKIRIKA SANA
Jamaa ana pakukimbilia kanisani kaharibu,Serikalini kaharibu na Home kaharibu ni zaid ya gaid.Jamaa ni mchafu mpaka kwa mke wa kaka yake, hana heshima amekosa adabu kabisa, wapo watakao msifia ni mwamba lakini ni mpumbavu asiye na akili, labda tuulizane hapa ni kweli ametembea na wanawake 400, amepata faida gani?? hatapata na kaka yake tena kwa sababu ya huo upumbavu wake, hakuna ndugu wa familia atakuwa upande wake, ametengeneza mpasuko mkubwa kwa mke wake na watoto wake, ataishi kwa upweke sana hata kama hatatiwa hatiani, rafiki zake watamkwepa, wakimhofia asijetembea na wake zao, atakuwa mpweke, wana watakimbia na kibarua atapoteza, kiufupi ameharibu sana
kuzimu ndo Majala pakeJamaa ana pakukimbilia kanisani kaharibu,Serikalini kaharibu na Home kaharibu ni zaid ya gaid.
Acha wivu wewe ataishi vizuri tuHana faida ya kuishi, ndio maana unaona aliofanya nao huo mchezo wameanza kujieliminate wenyewe, maana ni aibu kuuu
sio wivu ni upumbavu, nani atapenda aishi naye kwa uchafuzi huo?Acha wivu wewe ataishi vizuri tu
CHa ajabu nini?Yalotokea kwa huyu kiongozi wa equatorial ni ya kujifunza