Dunia kwa sasa haina tena taifa kubwa

Dunia kwa sasa haina tena taifa kubwa

Hamna nimebalance story kwanza
Pili UKRAINE hakuna aibu maana OP inaenda vyema kama ilikwisha kupangwa shaka ondoeni
Mkuu by the time tunakula Eid El Fitri hata huko Eastern mlikokimbilia mtakuwa mmefurushwa
 
jamaa ni hatari .
Na vile anasura ya kisimanzi simanzi wa wakimuona kwenye TV wanasema huyu ameisha . au kwa kuwa jamaa taaluma yake ni muigizaji?.
Zelensiky ni mwanaume kweli kweli,muda wote yupo na mavazi ya kikazi awe anahutubia Bunge la Ncho yoyote au majuzi hapa akiwa na yule Mama Boss wa EU,hiyo sura ya upole imewanyoosha pamoja na Boss wao anaejifungia muda wote Kremlin
 
Alokwambia Talibam waliwakimbiza US mwambie nimefuata barua ya malalamiko kwa mwenyekiti serikali za kitaa, aripoti polisi mwenyewe
 
watu tunashindwa kuelewa.hata leo tukisema tanzania ikavamie burundi tunaweza kutoka kwa aibu.
vita ngumu ni hile unakwenda kuvamia kwa mwenyeji ujui historia yake.Ndio maana unakuta unapoteza wanajeshi wengi sana.

Kama unakumbuka USA ilikwenda kuvamia ujerumani vita ya pili,USA ilipokwenda kuvamia vetnamu,USA ilipokwenda kuvamia somali.
hizo sehemu zitakupa mfano tosha kuwa kuvamia nchi za watu ni ngumu labda upate ushirikiano na wananchi
Nakubaliana na wewe vita ya vietam ina mrudia Urussi .
 
watu tunashindwa kuelewa.hata leo tukisema tanzania ikavamie burundi tunaweza kutoka kwa aibu.
vita ngumu ni hile unakwenda kuvamia kwa mwenyeji ujui historia yake.Ndio maana unakuta unapoteza wanajeshi wengi sana.

Kama unakumbuka USA ilikwenda kuvamia ujerumani vita ya pili,USA ilipokwenda kuvamia vetnamu,USA ilipokwenda kuvamia somali.
hizo sehemu zitakupa mfano tosha kuwa kuvamia nchi za watu ni ngumu labda upate ushirikiano na wananchi
Kweli..
Sisi Tanzania tuliposhambulia Uganda vita ilikuwa nyepesi kwa sababu waganda walishamchoka dikteta na mtesi wao Iddi Amin Dadaa, so walitoa ushirikiano wa karibu Kwa majeshi yetu kumfurusha
 
Kweli..
Sisi Tanzania tuliposhambulia Uganda vita ilikuwa nyepesi kwa sababu waganda walishamchoka dikteta na mtesi wao Iddi Amin Dadaa, so walitoa ushirikiano wa karibu Kwa majeshi yetu
Waliambiwa anakula watu na mabaki anayatupa mtoni.
 
CRIMEA nisehem halali ya RUSSIA
Maeneo ya east yale nimataifa huru tayari kama yalivyokua OSSETIA kule GEORGIA
Pia hakuna wakumuangusha PUT IN munatamani iwe hvyo ila haitakua POLENI tuuuu
Pia jamaa aliondoka KIEV kwamakubaliano maallum
RUSSIA sio ZIMBABWE
Kumbe ilikuwa ni makubaliano ya yale mazungumzo yaliyokuwa yakiendelea ambapo muda ule Zelensky alitoa kauli nyingi za kuwakatisha watu wake tamaa.Ana tabia ya kinyonga kubadili rangi zake haraka haraka.
 
Mkuu by the time tunakula Eid El Fitri hata huko Eastern mlikokimbilia mtakuwa mmefurushwa
Thubutuuuuu
Kuna majimbo kule tayari yanajitegemea yaani ninchi huru kabisa
Kule RUSSIA haitakaa itoke tena yaani hilo mlisahau kabisaaa !!!
 
Kumbe ilikuwa ni makubaliano ya yale mazungumzo yaliyokuwa yakiendelea ambapo muda ule Zelensky alitoa kauli nyingi za kuwakatisha watu wake tamaa.Ana tabia ya kinyonga kubadili rangi zake haraka haraka.
KIEV iliachwa kwamakubaliano maalum DUNIA inajua hivi
Kuna habari humu zililetwa kwamba UKRAINE wameikamata KIEV baada ya majeshi ya RUSSIA kurejea nyuma lakini humo humo kuna maelezo yamakubaliano na RUSSIA kama ndio sababu yamajamaa kusepa KIEV
 
Thubutuuuuu
Kuna majimbo kule tayari yanajitegemea yaani ninchi huru kabisa
Kule RUSSIA haitakaa itoke tena yaani hilo mlisahau kabisaaa !!!
Russia alitaka aingie Kyiv,baada ya kufail akaamua kukimbilia huko lakini lengo mama lilikuwa Kyiv
 
Back
Top Bottom