Dunia kwa sasa haina tena taifa kubwa

Dunia kwa sasa haina tena taifa kubwa

Na katika kulia lia kwake ndiyo amepelekea mpaka wewe kuanzisha hii mada au umesahau content ya mada yenyewe,vinginevyo sasa hivi ungekuwa unaitukuza Russia kwa kuwa 'super power'
Ila zelensky amesupprise wapambe wa Putin na Russia, hata Putin alipo mpaka sahivi haamin imekuaje ameshindwa
 
Hata Assad bado ni Rais wa SYRIA
Amekuja Obama akaondoka,Trump naye pia.Wote walimuwekea muda atakuwa hayupo tena.Wameondoka wamemuwacha pale pale anadunda na sasa hata anasafiri nje.
 
Ila zelensky amesupprise wapambe wa Putin na Russia, hata Putin alipo mpaka sahivi haamin imekuaje ameshindwa
Mkuu Putin atakuwa anajuta sana,hii vita imemu expose mno uwezo wa jeshi lake,afadhari asingeenda tungeendelea kuamini zile propaganda za Kikomunist za uwezo mkubwa wa jeshi lake.
 
Nguvu ya kijeshi inapimwa na nini iwapo hao wenye silaha nzito wanashindwa na wanamgambo, Angalia hata Saudia anaavyoteswa na wanamgambo wa Houthi japo inajulikana amerundika masilaha tele ya hatari.
Hivi unajua kuwa kuna baadhi ya nchi wana siraha ambazo zimeshapigwa marufuku kutumika katika uwanja wa vita? Na je unaua kuwa kuna nchi zinamiliki siraha for a prestigeous reasons and not o put them in service?
Ukilijua hilo na kutambua mikataba mbalimbali ambayo mataifa mbalimbali yameshaingia chini ya mwamvuli wa baraza la umoja wa mataifa la haki za binadamu, utajua kwanini kwenye vita hakuna the use of full forces to prevent civilian casualties.
 
Nguvu ya kijeshi inapimwa na nini iwapo hao wenye silaha nzito wanashindwa na wanamgambo, Angalia hata Saudia anaavyoteswa na wanamgambo wa Houthi japo inajulikana amerundika masilaha tele ya hatari.
Hivi unajua kuwa kuna baadhi ya nchi wana siraha ambazo zimeshapigwa marufuku kutumika katika uwanja wa vita? Na je unajua kuwa kuna nchi zinamiliki siraha for a prestigeous reasons and not to put them in service?
Ukilijua hilo na kutambua mikataba mbalimbali ambayo mataifa mbalimbali yameshaingia chini ya mwamvuli wa baraza la umoja wa mataifa la haki za binadamu, utajua kwanini kwenye vita hakuna the use of full forces to prevent civilian cusualties.
 
Kwahiyo hizi ndio sababu za Urusi kupata aibu kubwa Ukraine?

Vile vifaru vya Urusi vimechakazwa na makombora ambayo hayaruhusiwi?
 
Hakuna mwanajeshi wa RUSSIA mwoga na alopoteza hamasa ya VITA(OP)
wao wapo field wanajua kwakiasi gani wamepata mafanikio huko field kwahio hizo kelele na maneno yakwenye media wala hayawatii khofu maana wanajua kipi wanachokifanya
Unadhani hao majeshi hawamsikii au kuona komedian analia lia nakuongea ongea kwenye bunge mbali mbali huko EU nakwengineko huku akiomba msaada
Hio tuu inatosha kukuonesha kwakiasi gani jamaa wanahali ngumu huko field mpaka wanaomba misaada
Huko field watu wanaamsha amsha yakutosha na wanapeleka moto wakutosha sanaaa yaani hawajali kuhusiana na propaganda wala nini sababu wanajua kama huko field mambo yanaenda kama yalivyopangwa
PUT IN anaendeleza OP yake kama alivyopanga nandio maana kila leo unaona jamaa wanaweka vikwazo kama ishara kwamba jamaa anatoa dozee dozee yakutisha nawanataka kumpunguza speed ila wanachemka!!!!!
Amekimbia Kiyv , na sasa anaelekea east , na kule atapoteza mpak Crimea , na Putin ataangushwa madarakani , kaa Kwa kutulia mda ukupe majibu mjarabu
 
Kwahiyo hizi ndio sababu za Urusi kupata aibu kubwa Ukraine?

Vile vifaru vya Urusi vimechakazwa na makombora ambayo hayaruhusiwi?
Urusi anapata aibu Ukraine kwakuwa na poor operational strategies, pia hakutegemea mataifa mengine kuisupport Ukraine baada ya kupiga mkwarwa kuishambulia nchi yoyote itakayoisaidia Ukraine (mkwara hewa) na siku za mbele Ukraine atafanikiwa kuikombowa miji yote na tutegemee bettle nzito na matumizi ya siraha nzito miji ya upande wa mashariki especially Donbass
 
watu tunashindwa kuelewa.hata leo tukisema tanzania ikavamie burundi tunaweza kutoka kwa aibu.
vita ngumu ni hile unakwenda kuvamia kwa mwenyeji ujui historia yake.Ndio maana unakuta unapoteza wanajeshi wengi sana.

Kama unakumbuka USA ilikwenda kuvamia ujerumani vita ya pili,USA ilipokwenda kuvamia vetnamu,USA ilipokwenda kuvamia somali.
hizo sehemu zitakupa mfano tosha kuwa kuvamia nchi za watu ni ngumu labda upate ushirikiano na wananchi
Ya vietnam ilikuwa kiboko, walikula mkong'oto mpaka ikabidi watengeneze maandamano ya kupinga vita nyumbani ili wapate sababu ya kuondoa majeshi yao kwa aibu Vietnam
 
Ya vietnam ilikuwa kiboko, walikula mkong'oto mpaka ikabidi watengeneze maandamano ya kupinga vita nyumbani ili wapate sababu ya kuondoa majeshi yao kwa aibu Vietnam
Katika vita usimuogope mtu mkubwa au mtu machachari.Muhimu uwe mvumilivu tu huku unapiga ndogo ndogo na kukimbia huku na huko.Msome Muhammad Ali alivyoshinda kwa kishindo kwenye raundi za mwisho.
 
Ila zelensky amesupprise wapambe wa Putin na Russia, hata Putin alipo mpaka sahivi haamin imekuaje ameshindwa
harafu mbinu nyingine anayoitumia jamaa ni kujifanya analalamika . hii mbinu imewaingiza sana mkenge 🇷🇺🇷🇺🇷🇺.
Marekan na UK wanamtunia masiraha ya kufa mtu. Harafu utamuona kwenye TV analalamika "hawapokei simu zangu ", Mara " Leo ndo itakua Mara ya mwisho kuniona ".
Jamaa ni 🔥🔥🔥🔥
 
harafu mbinu nyingine anayoitumia jamaa ni kujifanya analalamika . hii mbinu imewaingiza sana mkenge .
Marekan na UK wanamtunia masiraha ya kufa mtu. Harafu utamuona kwenye TV analalamika "hawapokei simu zangu ", Mara " Leo ndo itakua Mara ya mwisho kuniona ".
Jamaa ni
Nakumbuka siku ile anasema "hawapokei simu zangu" vile Pro Russia walidemka humu kwa shangwe,lakini kilichofuatia baada ya hapo mpaka leo wamebaki wanambwela tu
 
  • Thanks
Reactions: F9T
Mkuu si tunaongelea vita ya Russia vs Ukraine,au inabidi tubalance kwa kumwingiza na US ili tufunike aibu yetu kule Ukraine
Hamna nimebalance story kwanza
Pili UKRAINE hakuna aibu maana OP inaenda vyema kama ilikwisha kupangwa shaka ondoeni
 
Nakumbuka siku ile anasema "hawapokei simu zangu" vile Pro Russia walidemka humu kwa shangwe,lakini kilichofuatia baada ya hapo mpaka leo wamebaki wanambwela tu
😂😂😂 jamaa ni hatari .
Na vile anasura ya kisimanzi simanzi wa🇷🇺🇷🇺🇷🇺 wakimuona kwenye TV wanasema huyu ameisha 😁😁😁😁. au kwa kuwa jamaa taaluma yake ni muigizaji?.
 
Amekimbia Kiyv , na sasa anaelekea east , na kule atapoteza mpak Crimea , na Putin ataangushwa madarakani , kaa Kwa kutulia mda ukupe majibu mjarabu
CRIMEA nisehem halali ya RUSSIA
Maeneo ya east yale nimataifa huru tayari kama yalivyokua OSSETIA kule GEORGIA
Pia hakuna wakumuangusha PUT IN munatamani iwe hvyo ila haitakua POLENI tuuuu
Pia jamaa aliondoka KIEV kwamakubaliano maallum
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Back
Top Bottom