Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,614
Mkuu,Kumbe tayari Imerasimishwa! Hakika tunapoteza mapato huko
Hakika mkuuMkuu,
Haijarasimishwa, ila imethibitika kwamba haiwezikwisha duniani maana hata Misahafu inathibitisha juu ya uwepo wake.
Sasa ya nini kufa na tai shingoni, si bora tuchukuwemo kodi ziende hazina ya nchi ili kufadhili bajeti za serikali.
Tutoze kodi wote wanaotoa na wanaopokea, hata kama ikiwa ni rushwa ya ngono basi kikokotoo chake cha asilimia ya kutoza itengenezwe.
Kwahiyo ile kauli ya mama kwamba viongozi (Mawaziri) wale lkn kwa kiasi haitakuwa Kleptocratic wala nchi haitabezwa kwamba ni narco-state, kwasababu rushwa itakuwa ni halali kisheria.
Rushwa ilikuwepo hata tangu BC tena Biblia imerejelea rushwa lakini hadi leo bado ingalipo, ndiyo maana watafiti wamehitimisha kwamba haiwezikwisha. SASA MBONA DUNIA HAIJAFIKA MWISHO? Kumbe bora tuibadili rushwa iwe na tija kwa umma (kodi).Huo utakuwa mwisho wa dunia mnamtamani shetani namna hio
Today the world has in it Kleptocratic states, Oligarchy states, Narco states and Mafia states for graft.Huo utakuwa mwisho wa dunia mnamtamani shetani namna hio