"Let's agreed that Blacks cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."Serikali ya Haiti imesambaratika baada ya aliyekuwa kiongozi wake kujiuzulu kwa shinikizo la makundi ya mitaani yakiongozwa na Vitel'homme Innocent
Kiongozi huyo wa makundi ya kihalifu anashutumiwa kufanya matendo ya kigaidi maeneo mengine ya Carribean mbali na Haiti.
Tokea uanze kuwa Mwanaume Mpiga Mluzi umekuwa Mpumbavu sana. au unataka nami Nikupigishe Miluzi ukatibiwe MNH?Bc hy nchi hata popoma GENTAMYCINE anaweza kuwa rais
Walipata fundisho kule Somalia, hali waliyofikia Haiti kupeleka askari ni hatari. Kenya njaa yao ilitaka kuwaponzaHaiti nadhani us hana maslahi nayo mbona hatumi jeshi mpaka wanaomba polisi kenya!
Kuna magenge mengi yana silaha yaani polisi hawasogei! Wanatimba popote!Oyaa Kwa hiyo nchi imemshindwa jamaaa Hadi Rais anajiuzulu....🤣🤣🤣
Kweli"Let's agreed that Blacks cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Kabla babu zake Botha hawajaenda afrika kusini,hapakua na utawala huko south!!?"Let's agreed that Blacks cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Huyo jamaa kwani amevaa mavazi ya kuwakilisha nani.Ni waafrika au mavazi ya weusi.Ulitaka umuone jamaa ndani ya suti km mzungu ndio umuone anafaa kuwa kiongozi?
Hili ni tatizo kubwa kwetu sisi weusi kujadili mtu kutokana na mavazi au muonekano.
Hawa wakwetu huku wanaovaa suti wananini cha ziada zaidi ya rushwa na kuuza uhuru wetu kwa wenye pesa?