Kijana Jua halizunguki hili weka akilini....jua ndilo linalozungukwa na vilivyomo kwenye mfumo wake....mfumo wa jua una sayari kadhaa ikiwemo dunia miezi kadhaa ukiwemo huu wa kwetu vimondo na takataka zingine zote zinalizunguka jua ambalo lina nguvu kubwa ya uvutano hivyo hakuna kinachotoka nje ya msari wake
Dunia hujizungusha yenyewe wakati huo huo ikilizunguka jua....mwezi nao unajizungusha wenyewe huku unaizunguka dunia hapo hapo inalizunguka jua pamoja na dunia
Ndio maana wakati fulani kunakuwa na kupatwa kwa jua ama mwezi kutokana na mizunguko yao
Jua ni nyota iliyo karibu na sisi nyota zingine zipo mbali sana nazo zina mifumo yao nayo huzungukwa vilevile ila siku zote nyota hazizunguki bali sayari na maumbo mengine
Dah tatizo mkuu umekuja muda ambao nataka nilale...nashkuru kwa kutia maguu.Mkuu, ninakuomba unapotaka kutoa hoja au kujibu swali mbele ya hadhara unatakiwa ufanye tafiti au uulize kwanza au ujisomee kabla ya kuwasilisha.
Nikwamba kila kitu kilichomo angani hakijatulia, yaani ama kinajizungusha, kinazunguka kitu kingine au kinaenda katika mwendo wa kawaida ( linear motion) kutoka sehemu moja kwenda nyingine, jua nalo linajizungusha hapohapo lilipo.
Na hayo ni matokeo ya "the big bang".
Nimeishia form four ila napenda kujua haya mambo,hivyo ukija na porojo ooh huna shule kasome utapoteza muda tu,tujadili hili suala.
Kuhusu jua na mwezi hivi bila shaka vinazunguka na nadharia yake iiko madhubuti kueleweka.lakini hii ya dunia kuzunguka imekaaje mbona inakanganya sana wadau?
Hii dunia kama inazunguka tena kwa spidi kubwa sana inakuwaje wale ambao wanatoka nje ya dunia wakirudi hurudia pale pale tu hata hawatui pengine?
Yaani muweke sisimizi kwenye tufe alafu jaalia pale alipo ndo anatoka duniani anaenda mbali katika sayari zinginee.jaalia umempaisha sasa alafu alipotoka katika anga ya dunia ile dunia(tufe)likawa linazunguka kwa spidi kali sana.umepata picha?.
Sasa je ili arudi na ile kasi ya dunia yenyewe kuzunguka naweza kutua pale pale kweli?
Hawa wanaopaa wannafanyaje mpaka wanaarudi pale pale walipotokea?
Naomba tueleweshane nipo hapa kujifunza wadau.sitaki kejelii
Mokaze
Shark
AL - ANBIYAA - 33
Na Yeye ndiye aliye umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea.
YA-SIN - 39
Na mwezi tumeupimia vituo, mpaka unakuwa kama karara kongwe
YA-SIN - 38
Na jua linakwenda kwa kiwango chake. Hayo ni makadirio ya Mwenye nguvu, Mwenye kujua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah tatizo mkuu umekuja muda ambao nataka nilale...nashkuru kwa kutia maguu.
Naomba kama ukiwafikishwa pitia vijiswali vyangu juu uvidadavue kimoja na kingine بإذن الله
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia ina Engine yake ya kujizungushia...ipo underground kabisa ya Dunia.. ni Petrol engine na bado ni ya kizamani inatumia calbulator kuna siku za mvua huwa inapatwa name miss jet zinaziba hivyo matokeo yake ndio matetemeko tetema kama kule bukoba
Tayari nimeshaeleza kwa kifupi kwani hiyo ni elimu pana sana na inahitaji utaalamu mkubwa wa kiueledi, nadhani watakuja wajuzi zaidi kuifafanua.
إالله يعلم
mkuu ina maana jua halimove lipo hapo hapo...?Mkuu, ninakuomba unapotaka kutoa hoja au kujibu swali mbele ya hadhara unatakiwa ufanye tafiti au uulize kwanza au ujisomee kabla ya kuwasilisha.
Nikwamba kila kitu kilichomo angani hakijatulia, yaani ama kinajizungusha, kinazunguka kitu kingine au kinaenda katika mwendo wa kawaida ( linear motion) kutoka sehemu moja kwenda nyingine, jua nalo linajizungusha hapohapo lilipo.
Na hayo ni matokeo ya "the big bang".
mkuu ina maana jua halimove lipo hapo hapo...?
sasa kwa nini jua pekee ndo liwe halimove na bodies zingine liwe zinamove...?
mkuu kuna ishara kweye Qurani inasema milima inakwenda.
sasa kama milima inakwenda haiwezi kuwa ishara kuwa dunia nayo inakwenda mkuu ?
Nisaidie kaka hiyo aya inayosema Dunia inazunguka.Nenda ukasome Qur'an vizuri.
Kaka haya uliyo yaandika ni kwa mujibu wa Sayansi au Qur'aan ? Kama ni kwa mujibu wa kimoja kati ya viwili hivyo,unaweza kuthibitisha hilo ?Ndio, jua halisogei (move/revolve/orbiting) jinsi sayari zingine zinavyofanya kulizunguka Jua, Jua ndiyo "kiini cha rejea" (reference point) ya jinsi hizo sayari za mfumo wetu (our solar system ) zinavyozunguka jua.
Licha ya jua kuto- move/revolve/orbiting katika huu mfumo wetu wa jua, lakini jua linajizungusha (rotates) lenyewe hapo lilipo na linatumia takriban masaa (saa 27) kukamilisha mzunguko wake.
Hili walilithibitishaje ? Je walifika huko ? Kama hawakufika walijuaje hayo ?Juu ya yote, mfumo wetu wa jua (solar system) unao ndugu zake (wanafamilia wenzake/ Galaxy) na familia hiyo inaitwa "milk way galaxy" na katika ulimwengu kuna galaxy nyingi mno zinazofanya "Universe", sasa wataalamu wa Sayanswanasema wanafamilia wote wa milky way Galaxy (na solar system yetu ikiwemo) zote zinazunguka (revolve/orbiting) kwenye point moja ya rejea (reference point).
Thibitisha hili.Hivyo licha ya jua kutozunguka (revolve) lakini zote sayari na jua kwa pamoja zinazunguka (revolve) kwenye point moja, zinazunguka kwenye point hiyo zikiwa pamoja na wana member wenziwe wa "milky way".
Naomba aya au hadithi juu ya maneno haya.Umeuliza, kwanini jua lisimove na body zingine ziwe zina move (revolve), jibu ni hivi; Mungu amefanya hivyo ili hizo body ziendelee kuwepo kwenye njia yake (orbit) kwasababu kama zitaacha ku move basi zitavutwa na Jua na hapo ndipo "Kiyama" kitatokea na ujue hata dunia yetu pia itavutwa na na kumezwa na jua na kla kitu kitasambaratika.
Una amini katika "The Big Bang" ?Na hayo ni matokeo ya "the big bang".
Kaka haya uliyo yaandika ni kwa mujibu wa Sayansi au Qur'aan ? Kama ni kwa mujibu wa kimoja kati ya viwili hivyo,unaweza kuthibitisha hilo ?
Allah aliye juu anasema :
5. Ameumba mbingu na ardhi kwa Haki. Hufunika usiku juu ya mchana, na hufunika mchana juu ya usiku. Na amefanya jua na mwezi vitumike. Kila kimojapo kinakwenda kwa kipindi kilicho wekewa. Jueni mtanabahi! Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye kusamehe! ( az Zumar : 5 )
Haya umeyapata wapi ? Je unaweza kututhibitishia ukweli wake ?
Hili walilithibitishaje ? Je walifika huko ? Kama hawakufika walijuaje hayo ?
Thibitisha hili.
Naomba aya au hadithi juu ya maneno haya.
Japo hujajibu maswali yangu zaidi ya kutetea jambo ambalo misingi yake iko wazi,labda uwe huijui Sayansi.Hivyo Sayansi ya KWELI na dini zote za KWELI zinatoka kwa Allah, hivyo basi kamwe huwezi kuona Sayansi ya kweli zikipingana na dini ya kweli, na hapa dini ya kweli ni Uislamu.
Ndio mimi kaka. Kama kuna sehemu nimekosea naomba unikosoe kielimu.Ni wewe Zurri ninayekujua au ni Zurri mwingine???.
Hujajibu swali kaka.Kazi ipo kweli kweli, 🤣🤣🤣