Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,349
- 201,629
Mambo mengine wala sio knowledge is power[emoji1]
Usininyime bhana ujuzi Woman
Mambo mengine wala sio knowledge is power[emoji1]
Telemka zakhem wambie bodaboda wakupeleke evalist sio mbali hata kwa jero wanakupeleka mkuu,utakuta wana wamejitenga wakula mgumu kumeza(konyagi)hao ndio madalali mkuu kwa mrembo yeyote utakaye muona pale
Kwa kweli .....namshukuru mungu Sina mambo mengi sana naomba niendelee kua hivi hivi ...hii dunia ilipofikia ni balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Eimeen,. Mungu mwema azidi kutuimarisha,.dunia ina mengi nayo mengi hayana maana..Kwa kweli .....namshukuru mungu Sina mambo mengi sana naomba niendelee kua hivi hivi ...hii dunia ilipofikia ni balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
😊usijali Man,.Usininyime bhana ujuzi Woman
[emoji4]usijali Man,.
Jana weeken kama kawa nilizama chocho flan nikawa nashusha bia zangu tu kuanzia mapema kabsa mida ya mechi ya simba
Mida ya saa mbili kuna mdada alikuja kukaa pembeni yetu akawa kama ananitazama sana but nikapotezea
ilivyofika kama mida ya saa sita kuna mwana nilikuwa simjui akaja kunisalimia kama ananijua kwa aibu ikabd niitikie kama na mm namjua tu
baadae akarudi tena kunifata akanionesha yule dem anaeniangalia akaanza kumsifia kwamba noma sana kitandani hapo mm nawaza nimkamjunje wife nikisepa so nikawa namsapoti tu asepe
baadae akarudi tena nimpe 20k aniunganishe na yule dem nikamchana hapana mzee
Baadae mwana wa pembeni yangu ndo akanitonya kwamba jamaa ndo agent wake yule malaya
Nikabak nashangaa hadi malaya wana Ma agent tena wa kiume
Sent using Jamii Forums mobile app
I know CWKuna vitu vya kunyimana ujue
I know CW
Unaweza kuwa unatembea barabarani kumbe watu washakudalalia
Unaweza kuwa unatembea barabarani kumbe watu washakudalalia
.
😊😉😉Okay me count on YOu MC
Hhaaa hatri sana haya maisha sasa watu wanatafuta pesa kwa kila namna