Dunia Ina Siri nzito sana

Toa akilini mwako Kama unaamini kuwa Mungu ndiye husababisha mvua kubwa ,pepo na majanga mbalimbali yatokanayo mafuriko duniani utakuwa upo sayari ya 200 BC,

Rejea kwenye mashindano ya Olimpic ,
Wazungu wamekuja na mtindo wa kutengeneza mvua kali zenye upepo mkali na mbaya zaidi wanazifanyia majaribio kwa nchi maskini tena zisizo na HATIA , Lengo lao moja tu DUNIA yote isaini mkataba wa "mabadiliko ya tabia nchi uliofanyika France,

Zaidi wanasayansi wameenda mbali na kuzuia mvua kwa nchi wanazotaka wao wenyewe sio ajabu Tanzania baada ya miaka 4 mbele hapatakuwa na mvua kwa mwaka mzima na hata ikinyesha ni manyunyu sana, huu mpango unaratibiwa na watu walioona mbali sana kwani chafu tena yenye kumzihaki Mungu,

Kwa neno la Lugha yako tamka kuiombea nchi yako, usije ukasema Omary Ndama hakuwahi kutamka haya, nawapenda sana ndio maana sichoki kuwadadavulia kilichopo na kinachoendelea katika sayari yetu hii, haya mwenye kukubali liombee Taifa lako na mwenye kupuuza comment ujinga wowote nao ni jibu tosha kwa wajinga wenzako
Asubuhi njema...View attachment 887035
Mkuu Omary Ndama ni wachache sana kama watakuwepo ndio watakuelewa au watakubali hili unalosema. Hata hao watakaokuelewa watakwambia hii ni Conspiracy Theory! Hawajui kwamba hili jambo lipo na ni halisi(real)

Kelele za kupambana na Mabadiliko ya Tabia nchi ni syndicate ya hatari miongoni mwa mataifa makubwa ya kibeberu na ni silaha kama zilivo silaha nyingine angamizi kama nyuklia!

Mambo haya yapo kwenye literature zao za fiction ambazo hujulikana kwa ku reveal mambo mengi wanayopanga na wanayofanya kwa siri kubwa. Niliwahi kusema humu kua matukio mengi tuyaonayo ulimwenguni hayapo kama tunavoyaona na kuaminishwa uhalisia wake

Kuna watu hadi leo hawaamini kama magonjwa makubwa na yasiokua na dawa ya kuyatibu kabisa kama vile kansa, UKIMWI, kisukari na hata homa ya ini ni magonjwa ya kutengenezwa kwa madhumuni ya kupata soko la uhakika na la kudumu la viwanda na makampuni ya kutengeneza dawa duniani, na wakati huohuo kutimiza malengo yao ya depopulating the world yanayosimamiwa na kina Bill Gates

Kama ilivo kwa mikataba ya kuuziwa madawa(maana serikali duniani zinalazimishwa kutoa pesa na kununua huku wanalazimishwa ku subsidize kwa watu wao)ili waonekane wana human face, mkataba wa kupambana na tabia nchi ni mashine ya mabeberu ya kukamulia pesa kutoka kwa serikali duniani

Nilishawahi kusema katika jukwaa mojawapo humu JF hawa tunao aminishwa ni matajiri wakubwa kama kina Bill Gates na wengineo hizi kampuni sio zao bali wamewekwa tu kuzisimamia. Na ndio maana hata wanapoandika will (mirathi) hua hawaandikii familia zao bali huandika kuziacha mali hizo katika wakfu na taasisi mbali mbali kwa maelekezo maalum kutoka kwenye dude liitwalo "The Establishment"

Bill Gate leo hii kimsingi "kashaiachia" Microsoft ambayo tunaaminishwa eti yeye ndie mmiliki na sasa anatumika na "fuko lake" la Bill and Melinda Gates Foundation katika issue za population control, kuja kutuchomea sindano watoto wetu wa shule za msingi ili eti kupambana na kansa za kizazi! Wakifanya hivyo huku wanapiga picha na watoto wetu wakiwa wanakula ubwabwa na maharage! Poor us..twaafa. Baada ya miaka ishirini au zaidi hakuna atakaekumbuka kwamba mlipuko wa kansa na kupungua kwa fertility rate ya watu wetu ilitokana na zile sindano zinazochomwa wtoto wa under 13 hivi sasa!
 
Toa akilini mwako Kama unaamini kuwa Mungu ndiye husababisha mvua kubwa ,pepo na majanga mbalimbali yatokanayo mafuriko duniani utakuwa upo sayari ya 200 BC,

Rejea kwenye mashindano ya Olimpic ,
Wazungu wamekuja na mtindo wa kutengeneza mvua kali zenye upepo mkali na mbaya zaidi wanazifanyia majaribio kwa nchi maskini tena zisizo na HATIA , Lengo lao moja tu DUNIA yote isaini mkataba wa "mabadiliko ya tabia nchi uliofanyika France,

Zaidi wanasayansi wameenda mbali na kuzuia mvua kwa nchi wanazotaka wao wenyewe sio ajabu Tanzania baada ya miaka 4 mbele hapatakuwa na mvua kwa mwaka mzima na hata ikinyesha ni manyunyu sana, huu mpango unaratibiwa na watu walioona mbali sana kwani chafu tena yenye kumzihaki Mungu,

Kwa neno la Lugha yako tamka kuiombea nchi yako, usije ukasema Omary Ndama hakuwahi kutamka haya, nawapenda sana ndio maana sichoki kuwadadavulia kilichopo na kinachoendelea katika sayari yetu hii, haya mwenye kukubali liombee Taifa lako na mwenye kupuuza comment ujinga wowote nao ni jibu tosha kwa wajinga wenzako
Asubuhi njema...View attachment 887035
Wewe kweli ndama mtoto wa ng'ombe usiyeelewa kitu..
 
Back
Top Bottom