Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,933
- 1,294
Naangalia ITV muda huu,kipindi cha hawavumi lakini wamo.Kuna dada muimba gospel analalamika kwamba,amepeleka cd zake huko kwenye radio za kumtumikia Mungu, wamemdai rushwa na hawakupiga nyimbo mpaka alipowasiliana na uongozi! Jamani,tunakwenda wapi?