Dunia imekwisha! Rushwa mpaka radio za Mungu!

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,933
1,294
Naangalia ITV muda huu,kipindi cha hawavumi lakini wamo.Kuna dada muimba gospel analalamika kwamba,amepeleka cd zake huko kwenye radio za kumtumikia Mungu, wamemdai rushwa na hawakupiga nyimbo mpaka alipowasiliana na uongozi! Jamani,tunakwenda wapi?
 
tunakoelekea mkuu..
 
Dunia na vyote vilivyomo ni Mali ya Bwana.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Naangalia ITV muda huu,kipindi cha hawavumi lakini wamo.Kuna dada muimba gospel analalamika kwamba,amepeleka cd zake huko kwenye radio za kumtumikia Mungu, wamemdai rushwa na hawakupiga nyimbo mpaka alipowasiliana na uongozi! Jamani,tunakwenda wapi?

redio ni za wanaadamu, acha kujichetua.
 
Wewe kumwachia mwenzio achezee mwili wako kwa dakika kumi unaona tabu? peleka cd yako radifo wani kama watakusaidia. Kumbuka RUSHWA ni utamaduni wetu
 
ila amekosea alitakiwa azitaje kwa majina kabisa, lakini namna hii ni kama majungu au fitina tu
 
Back
Top Bottom