Dunia imejaa watu waongo

Hata najua basi

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2025
Posts
1,882
Reaction score
3,730
1 ndoa ni utapeli
2 dunia imejaa unafki
3 dunia sio sehem nzuri ya kuishi
4 Familia sio kila kitu
5 kuamini kiumbe mwanadamu ni ujinga
6 kama kungekua na option ya kuchagua uzaliwe au usizaliwe ningechagua kutokanyaga kwenye dunia hii iliyojaa watu wabaya
7 sina hakika kama Mungu yupo
8 I hate everything πŸ˜’
 
MUNGU YUPO, ana watu wake na njia zake, ndiye chanzo cha akili na hekima zote.

Hint: You're approaching a KING, kama rais binadamu tena muuaaji wa maelfu anaendewa kwa uoga, adabu na itifaki, vipi MFALME WA WAFALME.

"Mtanitafuta na kunipata. Mtakaponitafuta kwa moyo wote."
Yeremia.29.13.BHN

Most of the things umetaja shows lack of Godly Wisdom.

BTW, Dunia kaachiwa mtoto wa MUNGU aliyeasi: shetani. Huyo mtoto naye ana watoto wake, ndo hao unaowalalamikia hapa.

Unfortunately watoto wa shetani ni wengi kuliko wa MUNGU ndomana dunia ni HOVES, na ukitaka kujua hilo:

wewe mwenyewe unamkataa MUNGU na njia zake, cha kuchekesha unalalamikia ndugu zako wa kutoka kwa yule baba yenu muovu.
 
Umesema Mungu yupo na ana watu wake hii nimeinzingatia sana
 
Kweli Mungu ana watu wake πŸ“Œ
 
Education in Africa is scam
Religions systems is scam
Politics Motherfucker is scam
Marriage system is scam too


Yale MAISHA kabla ya ukoloni ndo yalikuwa maisha bora

Kulikuwa hakuna dini
Hakuna education system
Hakuna siasa za kijinga

N.k
 
Haha ahha haha haha wewe unajua raha ya kupiga mbupu weee
Education in Africa is scam
Religions systems is scam
Politics Motherfucker is scam
Marriage system is scam too


Yale MAISHA kabla ya ukoloni ndo yalikuwa maisha bora

Kulikuwa hakuna dini
Hakuna education system
Hakuna siasa za kijinga

N.k
Kher kama nikuja dunian basi ningekuja wakati huo
 
Kwahiyo Mungu ana watu wake 🀣
 
Maisha kabla ya ukoloni ndo yalikuwa maisha bora. UONGO.

Wahadzabe wanaokula kinyesi ndo wana maisha bora?

Ukeketaji.
Kuua mapacha.

Kuua mke baada ya mume kufa (kama India huko)

Kuua albino.
Kuua wenye ulemavu wa viungo.

Kuzika watu wakiwa hai wamsindikize chifu aliyekufa.

Kafara za watoto wachanga kwa miungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…