Dunia imeisha!

Dunia imeisha!

mischa

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
367
Reaction score
177
Mama mwenye nyumba kamuita mama wa jirani akamuuliza mama una kifua mama wa jirani akamwambia nnacho,bac mama mwenye nyumba akamwambia kesho mkitoka na mmeo kwenda kazini we bana mahali ntakupigia uje uone kama una kifua au lah,mama mwenye nyumba kazi yake kushinda hapa nyumbani kuchunguza mboga gani wapangaji tumepika na wageni gani tumeleta na habari zote za mtaani anazo kiganjani,bac kesho yake mama jiran katoka na mumewe kwenda kazin nae akafanya kama alivyoambiwa na mama mwenye nyumba akabana mahala baada ya masaa kadhaa akamwambia njoo hapa kwangu ujione ya mumeo,kweli mama wa jirani akaja na viwembe mkasi ya kumtia makovu, yeyote ndani ya fumanizi,naam akafika ndipo mama mwenye nyumba akamwambia chungulia maana nyumba zimepakana na chumba kuangalia Hamadi!mumewe anabaka kale katoto kao cha miaka mi3!!!,mama jirani kazimia mtaa mzima umejaa kwetu aibu baba wa jirani kumbe ndo ulikuwa mchezo kale katoto amekainglia mbele na nyuma kila cku hudai anaenda kazi akirudi anamwambia housegal nipe nikacheze nae, jamani dunia ipo kweli??
 
Weweeee!! Hii ni hadithi au tukio halisi!!!????huyu baba bado anaishi?!
 
astakafulah lahadhin c kwisha kwa dunia tu bali hz ni nyakati za washenzi..
 
Hapo lazima ningeua bila kukusudia...........
 
Kha!haya mambo hata shetani anashangaa. Jamani madada poa mbona wengi tu why kutenda unyama huo kwa malaika huyo?
 
inaonekana hukupendezwa na mama mwenye nyumba.....>,,,,<,,<<,,,<<<<<<<<<<>>>>>>>>>>>>>
 
nina swali maumbile ya mtoto wa miaka 3 na huyo baba yana match kweli maana mtoto wa miaka 3 hata kuongea kwenyewe tabu?
 
Mh nadhani sasa baada ya kupima ukimwi wababa wamalizie na kupimwa akili kabla ya ndoa.
Huu ni ukatili na uaji kabisa, huyu baba atakuwa na akili timamu kweli?
 
nina swali maumbile ya mtoto wa miaka 3 na huyo baba yana match kweli maana mtoto wa miaka 3 hata kuongea kwenyewe tabu?

Hawezi kuongea sentesi ikanyooka
 
huyu ningepiga nakuua kisha nkamtia mafuta na majivu nikapanda mlima kilimanjaro nikayatawanya hata lisiwepo kaburi la mshenz
 
Na huyu baba juzi kafikishwa kituo cha msaada wa sheria hapo kinondoni,ndugu wa bwana wakaja wakimsema mama wa jirani kwamba hakitakiwa kufika kwenye sheria ni swala lingeisha kifamilia!!! Nauliza huyu mama wa jirani akinadili msimamo watakuwa wametenda haki😕
 
Back
Top Bottom