Dunia imeamua kujitoa ufahamu: Inadai Yerusalemu siyo mji mkuu wa Israel

Inawezekana anao kwani hapo tatizo nn? Au unazani dunia ndio ipo sahihi? He is what he believe

So if he believe goat is a God and You know dat he is wrong what he believe
Je wewe kama PASTOR huwezi kumweka sawa???ama kumfahamisha huko unapoelekea sio,,,,,
Au wewe ni PASTOR wa plate number tu
 
Siyo Sumail huana, Isack ndo upendo wa Ibrahim ulikuwa umelala, na Mungu alimua amjaribu na akakubali. Ndiyo maana sisi tunamuita baba wa Imani, maana nani awezaye kumchinja mwanae wa pekee?

Hakuwa Ismail bali Isack
mwanawe wa pekee..halafu awe isack?!..Ismail alikua kafa kipindi hicho Mwana wa pekee akiwa isack!?
 
Nakubaliana na wewe Mkuu. Unajua Kabla ya Wajerumani kuanzisha Tanganyika Karibuni eneo lote La tanganyika lilikuwa sehemu ya Zanzibar, jee hili unasemaje Mzee? Ushahidi upo chiniView attachment 646355
Hata mimi nakubaliana nawe kabisa,, ndio maana huu muungano tulionao ni wa asili, wa zamani sana. Tena hata kabla ya makao makuu yake kuwa ktk visiwa vya unguja, yalikuwa Kilwa, "nchi ya mlima" nadhani ilivyoitwa. Narekebishika.
 
una jiita mbinguni kwenu lakini inashangaza unadanganya hazarani!!! Hekaku la Yerusalemu lilivunjwa na kuchomwa na jeshi la Kiroma 70 WK na sio Waarabu. Waarabu walikuja 600WK kipindi Wayahudi washasambazwa duniani kote.
Na kwa Wakristo waliokuwa makini kiroho hawakushangaa 7bu Yesu alikua amewapa muongozo na mwisho wa Yerusalemu (soma Mathayo 23:37-39)
Dalili za uharibifu wa Yerusalemu ziko hapa (soma Luka 21:20-22)
Kwa Mkristo wa kweli hawezi kuiona Yerusalemu kuwa ni mji wa kidini
Umemaliza kila kitu,umeelezea kiufasaha sana,asante kwa kutupa historia iliyo sahihi.
 
Kwa maoni yako ina maana Wangoni wa Ruvuma leo hii wanaweza kurudi Afrika ya Kusini na kudai eneo walilotoka wakati wanakimbia vita?
Na Watutsi leo wanaweza kurudi Ethiopia wakadai wapewe eneo walilotoka miaka hiyo kabla ya kuhamia Rwanda?
Wewe msomi hasa, umetoa mifano iliyo hai.Kama ni mwalimu,nina hakika mwanafunzi wako,anayefeli,labda kaamua afeli yeye mwenyewe.
 
Yani hapa nashangaa watu kujifanya vipofu, watu almost wote ni wahamiaji kila mtu akisema arudi alikotoka adai eneo lake hata huyo Trump na wenzake inabidi waiachie Marekani kwa Red Indians
America ni ya wahindi wekundu,wawachie wahindi wekundu nchi yao.
 
ikiwa Wanatambua ISRAEL ni nchi na ipo basi na Mji mkuu wake utakuwa JERUSALEM
 
Japo sipo upande wowote ila mwandishi amesema Hekalu la wayahudi lilivunjwa na waarabu wakaja kujenga juu yake na si kwamba wayahudi walivunja, jitahidi kuwa makini kwa kila sentensi.
Lilivunjwa na waroma sio waarabu.Hawa waisrael madhali wamemkataa Yesu,na kumuita mtoto wa nje ya ndoa,watateseka maisha.
 
Hivi umesoma historia kweli?
Unajua kabla ya hao mnaowaita Waisrael kurudi pale kuwa kulikuwa na sehemu nne tofauti ambazo zilifikiriwa ikiwemo Kenya ya leo?
Basi leo hii wahindi wekundu wadai America yao maana ndio wenye nchi hiyo
Kijana napemda sana majibu yako
 
Nafahamu lilivunjwa na waroma katika vita ya Wayahudi na Waroma, ila alichosema mwenzako ni kwamba Waarabu walijenga juu ya Hekalu lililovunjwa na hakusema kwamba waarabu ndio waliovunja na kujenga msikiti juu yake.
Unaweza ukawa na historia ya kutosha lakini punguza munkari ujipe muda wa kutafakari kila sentensi unayoiona.
 
Inashangaza sana! Pamoja na ukweli ulio dhahiri kuwa mji wa Israel umekuwa makao ya wayahudi hata kabla hawajasambazwa duniani kote dunia imeamua kujitoa ufahamu na kuilaumu marekani iliyoamua kutambua na kukiri kuwa Yerusalemu ni makao makuu ya Israel! Waarabu walivamia Yerusalemu baada ya wengi wa wakazi wake kutekwa na kusambazwa kote duniani. Hekalu LA wayahudi lilivunjwa, na waarabu wakaja kujenga juu yake mskiti wa al aqsa! Japo kuna sehemu ya ukuta wa hekalu bado IPO mpaka Leo kama kielelezo cha hekalu hilo! Dunia ni wanafiki! ukweli wanaujua lakini wanawaogipa wataalam wa kujitoa mhanga, hasa wakijua wameshawakaribisha wengi wao kama wakimbizi!
Trump hajaufanya Yerusalemu kuwa makao makuu ya Israel, alichofanya ni kutambua tu ukweli huo! Hata ukiukataa ukweli huo haubadilishi chochote!
Ndiyo maana mataifa mengi yameamua kupotezea na kukaa kimya ikiwemo Tanzania!
Kama waarabu hawakubaliani na ukweli huo hakibadiliki kitu! Mwenye nguvu alisharudisha mji wake toka mwaka 1967 kwa nguvu! Halafu Leo wanamtolea mapovu Trump kana kwamba Trump ndiye aliyewanyang'anya!
umenena la maana kiongozi.na ninapo mkubali trump ni juu ya ukweli wake na kutopepesa macho au kuwa ng'ata puliza kama hawa viongoz wa mataifa mengine!.
 
Kwa maoni yako ina maana Wangoni wa Ruvuma leo hii wanaweza kurudi Afrika ya Kusini na kudai eneo walilotoka wakati wanakimbia vita?
Na Watutsi leo wanaweza kurudi Ethiopia wakadai wapewe eneo walilotoka miaka hiyo kabla ya kuhamia Rwanda?
tofautisha hao na kabila teule la mungu wayahud.na uwe unasoma vitabu vitakatifu kidogo utapata maarifa tofauti na huo upeo wako ulipo ishia ss.
 
Naona mwisho unakaribia pale ndipo atokapotua maana wa Adamu kuwahukumu wana wa ulimwengu
 
Inashangaza sana! Pamoja na ukweli ulio dhahiri kuwa mji wa Israel umekuwa makao ya wayahudi hata kabla hawajasambazwa duniani kote dunia imeamua kujitoa ufahamu na kuilaumu marekani iliyoamua kutambua na kukiri kuwa Yerusalemu ni makao makuu ya Israel! Waarabu walivamia Yerusalemu baada ya wengi wa wakazi wake kutekwa na kusambazwa kote duniani. Hekalu LA wayahudi lilivunjwa, na waarabu wakaja kujenga juu yake mskiti wa al aqsa! Japo kuna sehemu ya ukuta wa hekalu bado IPO mpaka Leo kama kielelezo cha hekalu hilo! Dunia ni wanafiki! ukweli wanaujua lakini wanawaogipa wataalam wa kujitoa mhanga, hasa wakijua wameshawakaribisha wengi wao kama wakimbizi!
Trump hajaufanya Yerusalemu kuwa makao makuu ya Israel, alichofanya ni kutambua tu ukweli huo! Hata ukiukataa ukweli huo haubadilishi chochote!
Ndiyo maana mataifa mengi yameamua kupotezea na kukaa kimya ikiwemo Tanzania!
Kama waarabu hawakubaliani na ukweli huo hakibadiliki kitu! Mwenye nguvu alisharudisha mji wake toka mwaka 1967 kwa nguvu! Halafu Leo wanamtolea mapovu Trump kana kwamba Trump ndiye aliyewanyang'anya!
Nimekuelewa sana mkuu
 
Kijana napemda sana majibu yako
Umependa majibu yake kwa sababu hujapenda kuumiza kichwa kujua kiini haswa.ni hv mifano anayoitoa ya wahind wekundu na hapo kenya ni haina maana.Na hujui kwanza hadi hv ss hapa tulipo dunia hii inaongozwa na wayahudi.Na ata hcho unachokitumia kujibia hzi post ni myahudi huyo anayekuwezeaha.Na ilishanenwa na kutabiriwa siku ya mwisho watarud katika Nnchi yao Israel na mji wao Jerusalem utakuwa chin yao.
 
Wewe hayo maneno uliyanukuu ktk vijiwe vya kahawa ama,,,,,Angali News ujue dunia inaendaje Jana tu wayahudi(Jewish)wenyewe waliandana
Huku wakisema “SHAME ISRAEL SHAME”na mabango yao yameandikwa NO MORE GRABING LAND
Mmoja wao baada ya kuhojiwa na mwandishi wa CNN akasema sisi ni watu wa mungu na tunapenda amani na haki sawa kwa wote tumechoka kuishi maisha yasio na Amani
Hii video clip ninayo najaribu kuituma uione lkn inagoma sijui kwann
SASA NASHANGAA WEWE UNASEMA ATI UCHUNGUZI ULIFANYWA KUA HUO MSIKITI UMEVUKA MIPAKA
WEWE UNAJUA HUO MSKITI UMEJENGWA KARNE GANI???
Au huo uchunguzi wa mipaka umeufanya wewe,,,!!!
Naomba nikuulize vitu hivi

Suleiman alikuwa muarabu au myahudi?

Je kipindi suleiman akiwa mfalme uislma ulikuwepo?

Je wayahudi wanaabud kwny misikit au masinagogi?

Na huwo msikiti (al aqsa) ulijengwa karne ya ngapi?
 
Hao waIsrael hiyo nguvu si wamepewa na mataifa mengine ya kuyachukua dhidi ya Wapalestna.
Unajua kabisa ni kitu ambacho kwa red Indians hakiwezekani, kinachotokea ni uonevu tu dhidi ya Wapalestina maana waisrael siyo jamii ya kwanza kuhama na ardhi ikachukuliwa na watu wengine, afrika makabira kibao yamehama kukimbia vita na ardhi zao zikachukuliwa, huko Amrica ya Kaskazini hao akina Trump wameua wahindi wekundu millions kiasi kwamba walikuwa wana lengo ya kufuta kabisa jamii ya red indians na wamefanikiwa kuchukua ardhi yao.
Australia wakazi halisi wa Australia ni Aboriginal and Torres.
Sasa nashangaa Waisrael tu ndiyo warudi na kudai ardhi waliyoacha
Vita ya 1967 ile ya siku 7 waisrael walikuwa peke yao lakini wapalestina ndio walisaidiwa na mataifa mengi ya kiarabu na kiislam! Lakini waarabu walichapwa! Hiyo haina ubishi!
 
Back
Top Bottom