Dunia imeamua kujitoa ufahamu: Inadai Yerusalemu siyo mji mkuu wa Israel

Nawashangaa Wakristo wa Tanzania kujifanya wanaipenda Israel unakuta mtu kaweka bendera kwenye gari, ndani kwake, kwenye nyumba za ibada....hivi upumbavu huu wameupata wapi? Waisrael asilia 70 sio Wakristo ni Wayahudi...idadi ya Wakristo Israel ni ndogo kuliko Waislam. Halafu lile taifa lililosemwa limebarikiwa na Mungu sio hawa Wayahudi wa leo. Mkristo wa kweli hawezi kushangilia kilichofanywa na Trump
 
Hujitambui na ujiongezi.mtu kuweka bendera kwenye gar yake,au sehem yoyote ile ni mapenzi yake.Na ww hujiulizi hao wanao weka za waarabu wanaofanya waafrika vitendo vya kikatili kila kukicha na kuwafanya watumwa huwaoni!?.Israel ni taifa teule la mungu mkuu na tunatambua wakristu pale ni wachache lakin tunakiri ndilo taifa teule kwa mungu wetu.na ndiyo maana waona nnchi nyingi za kikristu hazina shida kabisaa.
 
Taifa teule la Mungu kwa dini gani? Maana waliteuliwa Wayahudi na dini yao ya Kiyahudi....au waliteuliwa Wakristo?
 
Nafahamu lilivunjwa na waroma katika vita ya Wayahudi na Waroma, ila alichosema mwenzako ni kwamba Waarabu walijenga juu ya Hekalu lililovunjwa na hakusema kwamba waarabu ndio waliovunja na kujenga msikiti juu yake.
Unaweza ukawa na historia ya kutosha lakini punguza munkari ujipe muda wa kutafakari kila sentensi unayoiona.
tunahangaika bure tu hapa,
mfano wewe nyumba uliyonayo leo na kiwanja chako hatimiliki ya juu kabisa ni miaka 99,

hiyo nyumba yako miaka 500 ijayo hapo kutakuwa na kitu kingine kabisa,na hata harufu ya ukoo wako haitakuwepo hapo,

wayahudi waliondoka hapo kwa zaidi ya miaka 600,na wale waliowaacha hapo walikuwa washabadilika sasa wanajulikana kama wapalestina,
wengi wakawa washabadili imani mpaka kabila pia,mjue makabila nayo yanabadilika,
mfano wakati wa akina joshua,etc kingereza hakikuwepo,mambo yanabadirika kufuatana na mda.
Huwezi ukaondoka sehemu halafu watu wengine waje kudai ardhi mamia ya miaka baadae,huo ni utapeli tu
 
Hata mimi nakubaliana nawe kabisa,, ndio maana huu muungano tulionao ni wa asili, wa zamani sana. Tena hata kabla ya makao makuu yake kuwa ktk visiwa vya unguja, yalikuwa Kilwa, "nchi ya mlima" nadhani ilivyoitwa. Narekebishika.
Kama unakubaliana nao, Zanzibar ipewe Eneo lake ma Mamlaka yake, sio munajitoa fahamu,.
Eti mechi ya Mpria ni Tanzabia bara Vs Zanzibar?
Kwanini munaliogopa jina Lenu Tanganyika?
 
hii kitu inanipaga raha sana nikiiona tu nashuka moja kwa moja kwenye comments....waafrika sie sijui jerusalemu yetu ni ipi..manake mapovu hapa yanawatoka watu balaa..wayahudi hawawatambui wala kuwathimini waafrika kivile (read: wao dini yao ni judaism sio ukristo)..waarabu hawaathamini wabantu kivile (read: uislam sio ishu..ukabila/race ndo mambo yote)..tuendelee tu kutoka povu kwa ajili ya watu wa mashariki ya kati ilihali wao hawapotezi hata chembe ya usingizi kwa miafrika....shikamooni watu weupe (waarabu na wayahudi kwa tafsiri yangu hapa)....
Kweli kabisa hawana time na sisi. Sisi tushikamane kivyetu tujenge mataifa yetu. Kila race/jamii inashikamana kivyao na kujenga civilization zao. Kuna documentary ilikua inaonyesha ubaguz wa rangi huko israel kwa wayahudi weusi wale waliotokaga Ethiopia. Waarabu ndo hao wanauza watu weusi na kutesa waafrika wanaofanya kazi za ndani.
 
Kama unakubaliana nao, Zanzibar ipewe Eneo lake ma Mamlaka yake, sio munajitoa fahamu,.
Eti mechi ya Mpria ni Tanzabia bara Vs Zanzibar?
Kwanini munaliogopa jina Lenu Tanganyika?
Eneo lake lipi sasa? Nimekubaliana naye kwamba tangu zamani Bagamoyo, Tanga, Unguja, Pemba, Ujiji, Kondoa hadi Isimila ni nchi moja. Si Nyerere na Abeid walioziunganisha bali walizirejesha tu, sasa unataka kusema Zanzibar ipewe eneo lake, lipi hilo? Hiyo Zanzibar ya Unguja na Pemba ni ya ukoloni wa wazungu tu, je tuwatenge kwa kuithamini mipaka waliyotuwekea wazungu? Nani hapa anayejitoa ufamu sasa?
 
Naomba nikuulize vitu hivi

Suleiman alikuwa muarabu au myahudi?

Je kipindi suleiman akiwa mfalme uislma ulikuwepo?

Je wayahudi wanaabud kwny misikit au masinagogi?

Na huwo msikiti (al aqsa) ulijengwa karne ya ngapi?[/QUOTE

MKUU KWANZA SULEIMAN HAKUWA MFALME ALIKUA NI MTUME WA MUNGU FAHAMU HILO.

Mkuu wakati WA NABII SULEIMAN UISLAM ULIKUA BADO HAPO,LKN WAFUASI WA NABII SULEIMAN KWA WAKATI HUO WALIKUA WAKIAMINI KUA KUNA MUNGU MUUMBA ALIEUMBA MBINGU NA ARDHI
NA KUNA WATU WENGINE WALIKUA HAWAMTAMBUI WALA HAWAAMINI KAMA MUNGU YUPO WALIKUA WAKIABUDU MASANAMU
MKUU SINAGOGI NI MAANA HALISI YA KANISA SASA CHA AJABU HAO HAO MAYAHUDI NDIO WANAO UTAKA HUO MSIKITI HALI YAKUWA WAO WANASALIA KTK MASINAGOGI
NA NDIO MAANA HADI LEO MSIKITI WA AL-AQSAA ULIWEKEWA MASHARTI NA SERIKALI YA PALESTINA KUA MUSLAM AKITAKA KUSALI HAPO AWE AMEVUKA MIAKA 50 NDIO AINGIE MSIKITINI,,SABABU YA HIO SHARTI NI KUWAHOFIA HAO HAO MAYAHUDI(VIJANA) WASIJE TEGA MABOMU AU KULETA UHARIBUFU WOWOTE NDANI YA HUO MSKITI,
 
Tufanye Congo ndo mji mkuu wa Israel tuone kama itaathiri chochote kwenye maisha yako ya kila siku!
 
Eneo lake lipi sasa? Nimekubaliana naye kwamba tangu zamani Bagamoyo, Tanga, Unguja, Pemba, Ujiji, Kondoa hadi Isimila ni nchi moja. Si Nyerere na Abeid walioziunganisha bali walizirejesha tu, sasa unataka kusema Zanzibar ipewe eneo lake, lipi hilo? Hiyo Zanzibar ya Unguja na Pemba ni ya ukoloni wa wazungu tu, je tuwatenge kwa kuithamini mipaka waliyotuwekea wazungu? Nani hapa anayejitoa ufamu sasa?
Hujajibu hoja, unavyosema we ni kwamba unaamini kwamba Jerusalem ni eneo la Israel tokea Zamani na wapalestina hawana kwao ka hio warejeshewe eneo lao.
Na mimi nakuambia eneo la pwani kuanzia mafia mpaka kufikia Mombasa ni Eneo laZanzibar Halisi.
Katika ile Ramani nliyokuwekea hakukua na Nchi inayoitwa Tanganyika, wela Tanzania Bara. Kwa hio Irejesheeni Zanzibar eneo lake kwanza halafu nyinyi aidha mutakuwa Raia wa Congo au mukitaka tutawapa Uraia wa Zanzibar kama unavyotaka wewe Wapalestina wo wasiwe na nchi yao wenyewe.
Wewe unajua kua hiyo ikulu yenu munayoringia ya Magogoni yamejengwa na Wanzanzibari?
 
Hili ndio eneo la Zanzibar
africa1876_20150427095010055.jpg
 
Kwa maoni yako ina maana Wangoni wa Ruvuma leo hii wanaweza kurudi Afrika ya Kusini na kudai eneo walilotoka wakati wanakimbia vita?
Na Watutsi leo wanaweza kurudi Ethiopia wakadai wapewe eneo walilotoka miaka hiyo kabla ya kuhamia Rwanda?

Tofautisha “wanaweza” na “ wameweza”. Waisraeli wameshaweza.
 
Hujajibu hoja, unavyosema we ni kwamba unaamini kwamba Jerusalem ni eneo la Israel tokea Zamani na wapalestina hawana kwao ka hio warejeshewe eneo lao.
Na mimi nakuambia eneo la pwani kuanzia mafia mpaka kufikia Mombasa ni Eneo laZanzibar Halisi.
Katika ile Ramani nliyokuwekea hakukua na Nchi inayoitwa Tanganyika, wela Tanzania Bara. Kwa hio Irejesheeni Zanzibar eneo lake kwanza halafu nyinyi aidha mutakuwa Raia wa Congo au mukitaka tutawapa Uraia wa Zanzibar kama unavyotaka wewe Wapalestina wo wasiwe na nchi yao wenyewe.
Wewe unajua kua hiyo ikulu yenu munayoringia ya Magogoni yamejengwa na Wanzanzibari?
Knock knock.
 
una jiita mbinguni kwenu lakini inashangaza unadanganya hazarani!!! Hekaku la Yerusalemu lilivunjwa na kuchomwa na jeshi la Kiroma 70 WK na sio Waarabu. Waarabu walikuja 600WK kipindi Wayahudi washasambazwa duniani kote.
Na kwa Wakristo waliokuwa makini kiroho hawakushangaa 7bu Yesu alikua amewapa muongozo na mwisho wa Yerusalemu (soma Mathayo 23:37-39)
Dalili za uharibifu wa Yerusalemu ziko hapa (soma Luka 21:20-22)
Kwa Mkristo wa kweli hawezi kuiona Yerusalemu kuwa ni mji wa kidini

Hivyo vifungu ulivyotoa haviondoi ukweli kuwa waisraeli kwao ni Jerusalem. Kusambaratika kwao hakufuti asili yao. Kama wameweza kurudi kwao na wakafanikiwa ndio hivyo wako kwao.

Quran na Bibilia vyote kwa nyakati tofauti vimewahusisha waisraeli na ardhi ile.

Cha hovyo zaidi ni wapalestina ndio wasiotaka amani. Jerusalem misikiti na makanisa bado yapo. Je mpalestina angetawala Jerusalem leo hii angebakiza chochote cha muisraeli?
 
Hata kama haviondoi sawa, Mkristo anahusikaje na kutetea Uwepo wa Israel?
Iwepo au isiwepo Inawaumiza nini?
 
Back
Top Bottom