Dunia hii

Kweli shilawadu mmezidi mjini
 
Wanaume wa Dar bwana....mi naona ile bahari inawatatiza au too much bongo fleva inawakosesha maadili. Huyo ni kumwambia tu aachane na huyo shoga a.k.a. mume si riziki kwani akiendelea nae atakuja kumpa magonjwa ya hajabu.
 
Sijasema kuwa ni wa Dar mkuu
 
Aya majitu yanatudhalilisha wanaume.sasa wewe unajijua punga unaenda kuoa ili iwe nini.kuna punga lingine nalifahamu linaoa mwezi wa 8 alafu mtoto mbichi kabisa.Sasa limewaambia mabasha zake wasiseme kitu ila kuna mmoja anasema likishaoa ndo anamsanua bi mkubwa.
 
Kuna story inafanana na hiyo; wahusika wako Arusha. Hapo siri hamna maana katika kuomba ushauri siri haipo tena.
Note: niliipata kwa colleague wangu ambae ni rafiki yake na huyo mwanamke ambae anapigiwa mumewe
Arusha .Kazi nyingine zinakufanya uwaze x2.Sijui nini kifanyike
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…