Mungu kaiumba Dunia kwanza kabla ya vitu vyote kwahiyo baada ya hapo kila alichokitengeneza lazima kishabiiane na Dunia ili kisilete/kisipate tabu ktk Dunia ambapo mtoa mada anatujuza kwamba organs nyingi ktk mwili wa binadamu zinashabihiana na Dunia ndio nikasema haya yote ni uwezo wa Mungu
Angalia vitu ambavyo ni Godmade na vitu ambavyo ni Manmade.
Vitu ambavyo ni Godmade vinaisha/vina muda maalum...angalia ugumu wa Chuma lakini kikikutana na Maji na Hewa kinapata kutu na kuisha
Twende kwenye Manmade mfano Plastic inakua ngumu kuisha labda uichome moto.