Hahahaha we jamaaAsilimia 99 yabinadam hawafahamu hio Siri unayotaka kutupa???
Unaifahamu ww nahao wachache ulio wataja??
Niko naresearch yangu binafsi nafanya kuhusu tabia namazoea yavitu vidogodogo tunavofanya kwenye maisha yetu zinavoweza kukuza au kuharibu uwezo wetu wakufikiri nakuchambua mambo.