Sa naiipatajeeIpi jaman si uitafute ushuke chini
BrazaSawa tunangojea mkimaliza nitag bc tuendelee na riwaya
Kama yeye ndo chanzo cha yote hayo afanyeje sasa?![]()
![]()
![]()
![]()
Ila jamaa mhuni halaf eti kenda Germany bila kutoa msaada wowote


HahahaYaan ni hivyo hivyo ulivyohisi![]()
Leo hamna nyingine?Mkuu usijal we soma story kesho tena tutaendelea na story
HahahaHahhaha huyo simuwezi ana mabebez wengi Ney kila siku analia
Sakayo ni my special case sista.Mh special case
Michirizi ya DamuSa naiipatajee
Diamond naye mlikuwa mna msema hvo hvo. Yako wap now.Hapana aisee hata akiwa na mahela vipi hawezi badilika
Sijui nilieYaan twendeni hivi hivi shigongo anaweka bada ya maweek nikiweka nyingi mbele kutakuwa na arosto sitaki mambo za arosto zitokee


Khaaaawewe me nimeshawaacha wote nimebaki na D tu
Ila si unakumbuka Mapoto alivo kufa Rais alilia hadi akawa ana piga chafya! May be hata hahusikiWaweza saidia mtu uliyemsababishia matatizo??
Ewaaaaa



