Thanks nimefurahi kukuona hapa, segem nikikuta wewe najua hapo mambo ni fireeSiwezi
Karibu
HahahahHahahhah nakuonea huruma ukiwa addict yaan
Shunie bado nakumbuka ile ahadi yangu bado niko site mbali kidogo. nikirudi nitafanikisha. usikondeHahahhah nakuonea huruma ukiwa addict yaan
Thanks nimefurahi kukuona hapa, segem nikikuta wewe najua hapo mambo ni firee
Mbona mapema sana??Hahahahaha
Alostoooo! Mi hoiiiii hapa
HahahahMbona mapema sana??
Endelea kufurahia story....
Hiyo kitu si mchezo nakwambia haahaa,waweza shinda jf kila muda unachungulia kama kuna ka episode kamewekwaHahahah
Umeniacha hoi na kusema eti mna alostoo.
Teh teh
HahahaHiyo kitu si mchezo nakwambia haahaa,waweza shinda jf kila muda unachungulia kama kuna ka episode kamewekwa
Usijali nitakuwa naku tagHahaha
Uwe una nistua kwenye zengine
Maana na mimi nataka nifike level yenu
Nlikuwa nashangaa tuuMh
Usiniambie umeshamaliza