mwengeso JF-Expert Member Joined Nov 27, 2014 Posts 9,286 Reaction score 6,729 Jan 11, 2022 #1 Kinachoendelea nchini, kisiasa, ni wazi kwamba pesa imezaa kiburi na madaraka yamejenga maadui. YAJAYO ni KITENDAWILI lakini ...
Kinachoendelea nchini, kisiasa, ni wazi kwamba pesa imezaa kiburi na madaraka yamejenga maadui. YAJAYO ni KITENDAWILI lakini ...
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,143 Jan 11, 2022 #2 Nitakuwepo hapa kwa ajili ya Michango ya Wadau tu
cheetah255 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2017 Posts 1,382 Reaction score 2,416 Jan 11, 2022 #3 Alafu kuna mtu anadai keki ya taifa ni kubwa sana kila mmoja ale kipande chake.
Khalifavinnie JF-Expert Member Joined May 19, 2017 Posts 2,849 Reaction score 2,441 Jan 11, 2022 #4 tz misukule
Mwanzo ni Mwisho JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 4,440 Reaction score 11,003 Jan 11, 2022 #5 Date20210317 said: Kwahiyo uzi tayari au sio?? Click to expand... kweli watanzania tumezoea propaganda naporojo. ulikuwa unataka uzi uwe na maneno mengi yakisiasa na unafiki ndani yake ndo uuelewe vizuri
Date20210317 said: Kwahiyo uzi tayari au sio?? Click to expand... kweli watanzania tumezoea propaganda naporojo. ulikuwa unataka uzi uwe na maneno mengi yakisiasa na unafiki ndani yake ndo uuelewe vizuri
Rabonn JF-Expert Member Joined Nov 7, 2018 Posts 5,788 Reaction score 11,178 Jan 11, 2022 #6 kibabu cha jadi said: kweli watanzania tumezoea propaganda naporojo. ulikuwa unataka uzi uwe na maneno mengi yakisiasa na unafiki ndani yake ndo uuelewe vizuri Click to expand... Mimi nimeuliza tu
kibabu cha jadi said: kweli watanzania tumezoea propaganda naporojo. ulikuwa unataka uzi uwe na maneno mengi yakisiasa na unafiki ndani yake ndo uuelewe vizuri Click to expand... Mimi nimeuliza tu
mwengeso JF-Expert Member Joined Nov 27, 2014 Posts 9,286 Reaction score 6,729 Jan 12, 2022 Thread starter #7 Date20210317 said: Kwahiyo uzi tayari au sio?? Click to expand... Kama hujaelewa tambua kwamba "siasa ni nyepesi kuliko hewa lakini ni kali zaidi kuliko upanga"
Date20210317 said: Kwahiyo uzi tayari au sio?? Click to expand... Kama hujaelewa tambua kwamba "siasa ni nyepesi kuliko hewa lakini ni kali zaidi kuliko upanga"