Kule Tandahimba CCM ina hali mbaya sana. Wananchi wameapa kuifuta kabisa ifikapo 2020. Yaani hata DC wao anapata shida sana katika utawala wake, mara nyingi amekuwa akizomewa kwenye mikusanyiko mbalimbali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.