eliesikia
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 787
- 755
Hivi hawa CUF ni CHADEMA au CCM walipaswa kuunda nao kambi huyu???
Mgombea mwenza wake kawa waziri wa Afya kule Zanzibar kwa kweli sielewi wanataka nini kwenye kambi ya upinzani...
Mimi nimejaribu kangalia picha kipindi kile kabisa cha enzi za mzee ruksa kwa kweli alipendeza kuasi haikuwa haki yake kabisa... chama tawala cha CUF kipo juu sana kiunde kambi tawala na CCM huku bara tujue moja sio kung´ang´ania tuu upinzani ili hali wao ni watawala....