Duni Haji amefutiwa uanachama wa CUF Zanzibar

Duni Haji amefutiwa uanachama wa CUF Zanzibar

wenye akili wamekuelewa ila wapumbavu na malofa watakupinga na kukuona hujui ila mwisho wa siku watayaona haya unyo yanzungumza ni kweli

Toka lini uharo kama huo ukawa kweli, ulitaka awe mwanachama Wa vyama viwili mpate nafasi ya kupiga propaganda uchwara? ndoroooooooobo wewe
 
Katika hali ambayo Maalim Self Hamad ameona umaarufu wa Babu Haji Duni unakuwa mkubwa na anaweza kuwa rais wa Zanzibar 2020, Maalim akampangia njama za kummaliza kisiasa na kumshauri ajiunge na CHADEMA ili apewe nafasi ya kuwa mgombea mwenza. Baada ya kujiunga CHADEMA Duni haji amefutiwa uanachama wa CUF Zanzibar na ameanza kunyong'onyeshwa ili kupotea kwenye ramani ya kisiasa na kutokuwa mwiba tena upande wa Zanzibar na siasa za CUF.

Kinachoendelea ndani ya muungano hewa wa UKAWA kwa sasa baada ya Duni kuona kuwa hawawezi kushinda analazimisha kurudishwa ndani ya CUF na Maalim Self Hamad amekataa na kumwonya kuwa alijiondoa mwenyewe.mvutano huo umesababa kudorola kampeni ndani ya UKAWA hasa kwa upande wa wa makamu wa rais.Hali inayosababisha watu kuona usanii huu ni kwa ajili ya maslahi ya watu wachache.

#watanzaniatujitathimini
,tusikosee.
kweli akili zako zipo makalioni! Kampeni ipi imedorora wakati?? Haji duni yupo Morogoro Mikumi anaendelea na kampeni na Jana alikuwa na mkutano mikumi ya kumnadi Joseph Haule?
 
Vipaumbele vya Lowasa Elimu, elimu, elimu.

Chagua Lowasa chagua UKAWA upate elimu ili uwe na akili ya kufikiri vizuri.
 
Ma CCM Mmebanwa kila angle.
Iko hivi.

Hata Lowassa aache kupiga Kampeni ajifungie kwake bado tutamchagua
Lowassa akijitoa na akawekwa Kuku kuchuana na Magufuli bado tutamchagua Kuku
Leo hii Lowassa akijitokeza kumpigia Kampeni Magufuli bado tutamchagua yeye
Babu Duni akiamua kupumzika Zanzibar na kuacha kupiga Kampeni bado tutamchagua Lowassa na hatimaye,automatic Babu Duni atakuwa Makamu wa Raisi.

Mabadilikoooooooooooooooooo......Lowassaaaaaaaaaaa,Lowassaaaaaaaaaaa.... Mabadiliko.

Peoplessssssssssssssssssssssssssssssss

Kuna watakuja kujibu Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Daaaadeeki nyumbu katika ubora wake
 
Bramo

pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
mabadiliko hayaepukiki
 
Last edited by a moderator:
Vipaumbele vya Lowasa Elimu, elimu, elimu.
Chagua Lowasa chagua UKAWA upate elimu ili uwe na akili ya kufikiri vizuri.

Hapa na wewe usituambukize ujinga, sema kipaumbele cha Lowasa ni Elimu, Haiwezani mtu eti aulizwe kipaumbele chako ni nini, ajibu kula kujenga nymba, kujenga nyumba, kujenga nyumba. alafu usema ana vipaumbele lah, hiki ni kipaumbele kimoja tu ila ameridia kukitaja ama kukisema kwa hiyo huwezi ita vipaumbele bali kipaumbele.
 
ma ccm mmebanwa kila angle.
Iko hivi.

Hata lowassa aache kupiga kampeni ajifungie kwake bado tutamchagua
lowassa akijitoa na akawekwa kuku kuchuana na magufuli bado tutamchagua kuku
leo hii lowassa akijitokeza kumpigia kampeni magufuli bado tutamchagua yeye
babu duni akiamua kupumzika zanzibar na kuacha kupiga kampeni bado tutamchagua lowassa na hatimaye,automatic babu duni atakuwa makamu wa raisi.

Mabadilikoooooooooooooooooo......lowassaaaaaaaaaaa,lowassaaaaaaaaaaa.... Mabadiliko.

Peoplessssssssssssssssssssssssssssssss

kuna watakuja kujibu pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa




ccm oyeeeeeeeeeeeeeee magufuli hapa kazi tuuuuuuuuuuuuu oyoooooo
 
Ccm ni chama kizuri lakini wajiangalie hasa kwa watu wasio na cha kufanya zaidi ya kutafuta uchochezi kwenye vyama vingine hawaelewi kuwa chama chochote kitakacho shika madaraka ni kwaajili ya watanzania wote
 
Ongera nawe umepost

Join Date:27th may 2015
Post:37
Rep Power:326
Likes received:32
Likes given:2
 
Sijawahi kudharau uzi hapa jf kwa kiwango nilichoudharau uzi huu .
 
Join Date : 27th May 2015
Posts : 37
Rep Power : 326
Likes Received32
Likes Given2​
 
CCM wanapenda kujichekesha chekesha sijui kisharuala huwa kinawasha wanatafuta mende wa kuwapekenyua?... Dah!!
 
CCM wanapenda kujichekesha chekesha sijui kisharuala huwa kinawasha wanatafuta mende wa kuwapekenyua?... Dah!!

Jibu hoja na si kuongea maneno yasioeleweka hapa,,,, hata ukijibu si kweli ni sawa tu,,
 
CCM wanapenda kujichekesha chekesha sijui kisharuala huwa kinawasha wanatafuta mende wa kuwapekenyua?... Dah!!

Jibu hoja na si kuongea maneno yasioeleweka hapa,,,, hata ukijibu si kweli/kweli itaeleweka tu msimamo,,
 
Back
Top Bottom